Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu habari!. Iko hivi mwakajana mwezi wa pili niliingia kwenye mahusiano na Binti mmoja ambaye tulidum takribani miez miwili tukaachana. Na chanzo Cha kuachana ni Mimi nilikuwa na mambo mengi...
4 Reactions
6 Replies
423 Views
Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa)...
5 Reactions
21 Replies
621 Views
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo. Kisa kiko...
30 Reactions
129 Replies
4K Views
Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana. Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda...
23 Reactions
68 Replies
2K Views
Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam...
4 Reactions
6 Replies
342 Views
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
27 Reactions
187 Replies
3K Views
Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri. Kutokana na urefu wa kamba zetu na uwezo wa kushawishi, tunajikuta tunaishia kuwa na mahusiano na watu wasiokuwa na sura au...
24 Reactions
137 Replies
11K Views
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro. To cut long story short, Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything...
31 Reactions
230 Replies
4K Views
Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa...
22 Reactions
128 Replies
4K Views
5 Reactions
75 Replies
6K Views
haaaa no ventilation
1 Reactions
8 Replies
4K Views
.....si shaka kwamba ndugu/marafiki/jirani wa karibu nawe ndo watafunao tunda lako...(wakuchukuliao mwenza wako)...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au...
1 Reactions
2 Replies
282 Views
MKO WAPI MPENDAO ? 1. Hayapo tena mahaba Ja alivyosema Kiba kila mahali msiba Mko wapi mpendao ? 2. Wasasa ni vibweka Amani ni heka heka Si mbwa ila wabweka Mko wapi mpendao ? 3. Kupendwa ni...
2 Reactions
6 Replies
121 Views
Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona. Kama ww ni kijana...
31 Reactions
57 Replies
2K Views
Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao.
3 Reactions
3 Replies
158 Views
Katika msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya, niliamua kutumia muda wangu kwa njia tofauti. Katika pita pita zangu jijini, niliamua kutembelea "kijiwe" cha marafiki zangu maeneo ya Ubungo, mahali...
3 Reactions
2 Replies
261 Views
Habari ya weekend great thinkers? Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto...
138 Reactions
1K Replies
51K Views
Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba. Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea! Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance...
7 Reactions
27 Replies
652 Views
Back
Top Bottom