MAMBO 10 KUHUSU MKEO YAZINGATIE..
1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.
2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje.
3. Mkeo ni tunu, mthamini.
4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.
5. Mkeo ni rafiki yako...
Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu.
Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika...
Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka...
Wakuu,
Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili.
Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa
1. Kasema...
Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza...
Mwanamke anataka Status ya mahusiano yenu iulizwe kwa minajili ya jinsi mahusiano yenu yanavyo muaffect yeye bila kujali wewe.
Wanawake wamekuwa more selfish, na zaidi institutions hizi zinazidi...
Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho.
Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana...
Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na...
WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings...
Habari zenu wapendwa?
Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na...
Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka!
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke...
Mambo 5 ambayo MWANAMKE hutakiwi kuficha pale unapoanza MAHUSIANO!
(1) Umri wako; Kuna wanaume wanajali kuhusu umri, najua unaogopa labda ukimuambia ukweli atakukimbia, ila jua kuwa ipo siku...
Jamani mimi si mpenzi wa mchezo huo bt nmejifunza mengi sn kupitia kwenye mitandao na jamaa zangu wapenda hiyo kitu.
Ni kwamba mwanamke ukishamuandaa vema akakolea sana huwa kuna uhusiano kati ya...
Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi
Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe...
Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama unachangamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita.
Nimeandaa uzi huu kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na...
Hakika kwa hiki nilichokiona na kukishuhudia mwenyewe kwa macho yangu usiku huu hapa kitaani kwangu natangaza rasmi kusitisha kwa muda usiojulikana kufunga ndoa yangu iliyokuwa ifanyike mwishoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.