Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
26 Reactions
190 Replies
4K Views
Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati...
74 Reactions
183 Replies
26K Views
Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje. Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke hana. Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tulio wengi.
4 Reactions
32 Replies
736 Views
Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu. Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya...
13 Reactions
209 Replies
3K Views
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio? Nikamuuliza mbona sijafanya kitu...
49 Reactions
206 Replies
11K Views
BARUA YA MAREHEMU MAMA KWA MWANAE - SIKU TATU BAADA YA KUZIKWA!!! Mwanangu Mpendwa, Nataka ujue kwamba nilikufa kama mwanamke masikini wakati nina Mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Naomba niwashauri wanaume wenzangu, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana. Wadada mabonge wanajua...
20 Reactions
58 Replies
1K Views
Wanandoa wa kidigitali.. Mwanamke mwenye mdomo,..mwanamke anakupandishia[emoji23], jaman hizi ndoa za sasahivi zinaficha mengi.. Ndoa haswa za karne hii ya mwanamke ambaye ana digrii ama...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini...
29 Reactions
58 Replies
1K Views
Wakuu Mficha maradhi kifo humuumbua,kiukweli mimi niko addicted na hii michirizi ya vyupi za wanawake,kila nikikutana na mwanamke lazima kwanza niangalie kama hiyo kitu inaonekana. Kuna mwingine...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Wasifu imeua points nyingi sana Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
4 Reactions
46 Replies
965 Views
MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari...
3 Reactions
6 Replies
323 Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa Tumekua na mahusiano ambayo...
27 Reactions
184 Replies
6K Views
Kuwa peke yako kuna nguvu; inakufanya utambue kwamba unajihitaji zaidi. Kadiri unavyojijua mwenyewe, ndivyo unavyohitaji idhini ya wengine kidogo sana. Mpaka utakapokuwa huru kuwa peke yako...
4 Reactions
0 Replies
116 Views
Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa...
3 Reactions
13 Replies
755 Views
Kuna ukweli wowote kuwa kuna baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi? Kumekuepo na story nyingi mtaani hasa kwa vijana na wazee kuwa kulala na kila mwanamke unaweza pata mikosi. Kuna...
11 Reactions
96 Replies
6K Views
Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
21 Reactions
212 Replies
5K Views
Wakuu habari. Leo nawelatea njia ya kutufanya tusiwe watumiaji wa AZUMA. Kabla ya kufanya mapenzi mkiwa kwenye maandaandalizi pitisha kidole kwenye uke then kinuse. Ukikuta kinatoa harufu kali...
3 Reactions
5 Replies
514 Views
Back
Top Bottom