Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi siku hizi hutafuta mabinti weñye kazi au kujishughulisha na mambo ya kiuchumi. Mabinti wasio na kazi wamejikuta katika hali ngumu sana. Tena binti...
14 Reactions
89 Replies
3K Views
Wengine nimewapiga block, Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili. Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena...
17 Reactions
65 Replies
2K Views
Hellow wakuu. Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku...
35 Reactions
573 Replies
48K Views
Habari wanajamii forums,hope mko poa Nilikuwa tu nawakumbusha wanaume wenzangu hili jambo hili la muhimu.Ukishaingia tu kwenye ndoa jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba na kutokana na mood ya...
12 Reactions
51 Replies
2K Views
Mwanaume huwa anataka vitu vichache muhimu kutoka kwa mwanamke. Anataka heshima, ambayo ina maana kwamba anatumai anaona thamani yake na kuthamini kile anachofanya. Hatarajii wakubaliane kwa kila...
4 Reactions
10 Replies
366 Views
Wasalam wakuu. Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa...
15 Reactions
93 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 27, niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume huu ni mwaka wa tatu. Mwaka jana mwishoni mwanaume wangu aliniambia kuwa mama yake anaumwa, hivyo ananiomba niende kumsaidia...
20 Reactions
83 Replies
3K Views
Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna...
5 Reactions
12 Replies
583 Views
Habari, Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?. Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam...
13 Reactions
148 Replies
3K Views
Nilikua Na mahusiano Na Mwana Mama moja lakini baada ya kubeba ujauzito alikimbia akambambikiza mwanamume mwingine. Sasa hivi Mtoto ni mkubwa yupo cheke chea naomba mnishauri kwani mimi nahitaji...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
YAMENIKUTA; nilipata pesa na kutaka kuwa mwanaume ndani ya ndoa yangu! Maisha haya acha tu, hivi kwanini kuna mambo yanatokea halafu ndiyo mtu unakuja kujutia baadaye. Nilinunuliwa Kitabu na...
15 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakati bado hamjaoana yani wenyewe ile wanaita 'mnachunguzana' huku mara moja moja mnakutana uwanja nyutro kufanya yenu, hapo mkikutana lazima kiwake sana mta.ti.ana kutwa kucha hadi m.b0..0...
7 Reactions
11 Replies
465 Views
Jamani bikira maana yake ni mwanamke ama mwanaume ambae hamjui mtu yaani hajawai kufanya ngono yoyote wala kupitisha chochote kwenye uchi wake kwa lengo la kujihusisha na ngono Bikira huwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Put your kids in schools you can afford because expensive schools don't guarantee good results. Just ensure they attend a good affordable school 2. Rent apartments you can pay for...
11 Reactions
15 Replies
478 Views
Habari zenu wana jukwaa? Ni sehemu gani hatarishi uliwahi kufanya ngono? Mimi ni hospital, nilimgegeda nurse ninayefahamiana nae.
142 Reactions
5K Replies
2M Views
Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu, alikuwa anatembeza soksi na nguo za nd0ani mtaa Kwa mtaa amepauka miguu ndara zimekatika. Nilimpa Msaada...
6 Reactions
27 Replies
872 Views
Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano...
17 Reactions
89 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilikuwa na mchepuko wangu huko Mneya. Mara nyingi nilipokuwa nikitoka Dar na kwenda Mbeya nilikuwa napunguza gundi pale kwake. Ni Binti mzuri...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Daktari mahiri wa saikolojia wa kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili asubuhi Radio One Charity Xavery, ametoa mtego mzuri kwetu wanaume wa kujua kama...
12 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom