Aisee nyie masikini mnapata nguvu ya kulala mpaka sasa hivi wakati tajiri nimeamka embu amkeni mkatafute hela nyie masikini.
Nimeshasema wanawake msiwapende hawa wanaume masikini sababu hawana...
Habari
Rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona sio vibaya kuwashirikisha Wana jamii.
Amesema "Ana wapenzi wawili wote wanamkubali, Wakwanza ni nesi japo halipwi hata mshahara mkubwa na sio bikra...
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama...
HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE MZURI, MWENYE ELIMU NA PESA ALAFU AWE ANAKUPENDA.
Anaandika, Robert Heriel
Ooh! Sitaki Mwanamke mwenye Elimu,
Ooh! Sitaki Mwanamke anayejiweza kiuchumi,
Hivi...
Dah, leo Mchepuko wangu Toto Moja la Mbeya Mwenye shepu ya haja japo Sura ni ya Mshua wake limenipa makavu na kunitukana kwenye siku ya Valentine.
Huu ni mchepuko wangu sawa na Mama J mchepuko wa...
Kwamba Mwanamke asipo kuwa mama yako kaa nae kwa tahadhari sana.
Hana huruma na mwanaume yoyote isipokuwa baba yake na mtoto wake!
2024 nimefahamu hili kwa gharama kubwa sana.
fahamuni jamani kuna watoto wanazaliwa mimi binafsi nimewapa jina
la chinja chinja, watoto hawa kwanza sifa yao akizaliwa tu huwa anamuua
yule mtu ambaye ndiye angekuwa tegemezi lake hapa duniani...
Wasalaam wapendwa.
Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo.
Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa...
Huyo ndio mali yako,mle with passion,bila huruma,mle mpaka aseme leo umenila,kuanzia romansi,hadi staili mpya mpya,hakikisha anatoa milio ya kila aina huku na wewe unamsemesha kinyegenyege wakati...
Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi...
Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).
Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nafahamu mada hii ni ngumu, na haitakuwa nzuri sana kwa sababu ya mazoea na desturi za jamii zetu nyingi ambazo kimsingi bado zipo gizani. Lakini hiyo haitazuia...
Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine..
4 fundamental of life
i. Money and Power
ii. Sex
iii. Food and drink
iv. Umaarufu (fame)
Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na...
MY STORY; NATAMANI NINGEKUA NA NGUVU YA KUMUACHA MKE WANGU KAMA ALIVYOFANYA BABA MKWE!
Kila tulipogombana na mke wangu, alikuwa mtu wa kukimbilia kwao. Akifika huko, mama yake ananipigia simu...
UKWELI MCHUNGU AMBAO UNAPASWA KUJUA
Una mwenzako wa kike kazini, ninyi wote mnapokea mshahara au malipo sawa. Lakini mnapokwenda kula chakula cha mchana, unajifanya "MTU MZURI" na unalipa kwa...
Nyuki ni wazuri sana kwa kuwahutupa asali ila nyuki huyo huyo ukishindwa kufuata tahadhari anaweza kukuua kukupofusha macho au mambo kama hayo mengi sana .Nduguyenu nimekuja na code muhimu sana...
Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya...
Kichwa cha habari chahusika.
-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani
-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.