Sita wakumbusha tena ukiwa kwenye mahusiano na unaona ume jaribu kila njia kuresolve matatizo yenu lakini bado unaona upendo umeegemea upande mmoja au mmoja wenu ni kama hayupo tayari kuruhusu...
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.
Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.
Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
Haijalishi nitaonekana ni mtu wa aina gani lakini huu ndiyo ukweli,eidha utaukataa Kwa Lugha za matusi au utaukubali!
Kwenye hili hata kama nitatengwa na dunia nikabaki peke yangu lakini huu...
Heri ya sikukuu wana MMU.
Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea.
1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa...
Ngoja nitoe Siri ya kambi ipo hivi sisi wanaume hua tunapenda kua na mahusiano na mwanamke mmoja shida inaanzia nakufata nakutongoza unanizungusha ghafla namuona mwengine kwakua wewe sina uhakika...
Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...
wakuu juzi kuna mshkaji wangu alitumia namba ya simu ya demu ambaye simjui kunitafuta tukaongea vizuri, sasa mda sio mlefu namtafuta kumbe namba ya demu kama unavyojua nikaaanza mambo yangu...
Habari kaka Magical power, nina umri wa miaka 33 Nina Mtoto mmoja, sielewi Mimi ni single au nijiteje kuna jamaa ambaye tumetokea kupendana kwa miezi nane sasa, ila tatizo nikuwa aliachana na...
Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi...
Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.
Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na...
Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani...
Kuwa katika Ndoa siyo Kigezo cha Kupendwa na Mumeo. Mwanaume anaweza kuwa na Mke wa Ndoa katika Ndoa yao hata kwa miaka 20, ila akawa hajampenda Moyoni na yupo Mwanamke mwingine anayempenda hasa...
Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu...
Habarini,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko...
Wanawake wa kibongo wengi ni comedians wanajifanya wamempokea sana Yesu ila wana shindwa kuiiga tabia ya Mama ake Yesu, kwa roho moja aliolewa na fundi vitanda mwenye kipato duni, ila wao...
First of all I'm not a gold digger and never will i be.To make it more clearly I will share my life a little bit. I met my husband when he was broke and we dated for years before he got a job.We...
Nipo kwenye wakati mgumu naomba unisaidie kimawazo.
Mimi nipo kwenye mgogoro na mke wangu na moyo wangu umeshindwa kumaliza kabisa.
Iko hivi, mwanamke wangu tulianza kuishi tangu 2012, makazi...
Hivi kwema humu jukwaani?
Kufuatia uzi aliouandika member mwenzetu LIKUD hapa majuzi, kuonesha namna ambavyo anapenda kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wadogo wa miaka 18-25, mimi nami...
Nilimsomesha CHUO akaniacha na Kwenda kuolewa MKE wapili!
Nilihangaika mpaka nikamlipia ada. Kipindi hicho, mimi nilikuwa nimemaliza diploma, yeye alikuwa anasoma digrii. Katikati ya masomo, baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.