Wakuu kwema?
Leo mida ya asubuhi nimepokea simu kutoka kwa rafiki yangu/mdg wangu jinsia ya KE. Akanielezea mkasa ambao alitaka nimshauri. Nimeona sii vibaya nikishea hapa jukwaani huenda akapata...
I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio...
Hello Wadau wa JF!
Weekend ipo vipi pande hizo?
Binafsi ipo poa nimeshapata breakfast ya chapati za kusukuma, rosti la maini na kachai ka maziwa pembeni.
Kwa wale wapenzi wa Korean Drama Leo...
WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend...
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa...
Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu.
Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana
Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae...
Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja,
Wanaume...
Aisee huyo singo maza wa kiarabu,acha kabisa,alikuwa mtamu sijapata kuona,na aliunganisha na watu nyie acheni tu. Hebu niwapeni hii habari:
Maisha katika wilaya mmoja mkoani Tabora.
Nikiwa toka...
Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa!
Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi...
Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana
-Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake
-Hawezi kudumu na...
VISA NA MIKASA; Shoga ya
Nimetoka zangu kujifungua narudi nyumbani nakuta nyumba ni safi, yaani nawaza huyu si mume wangu kwakweli!
Naingia ndani nawaza nani kafanya huu usafi! Jicho la...
Mwaka jana nlikosa mademu wengi wakali sababu sikuwa na chambichambi, umatemate, ndarama au mkwanja. Nlikuwa wengine nawapata kwa maneno na ahadi kisha nikiwala wakiona sitimizi ndo basi...
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili...
Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu...
Habari jf mimi nina umri wa miaka 40 sasa, ni member wa jf mda tuu ila nimekuja na id hii mpya kuleta kisa changu kilichonikuta na uhamuzi niliochukua. Mimi ni mmoja wa wapondaji sana wa single...
Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa...
This may be too real to be true to you. But that's the reality! Take it from me.
Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana. Kuna urembo na kuna Uzuri. Mwananke anaweza kuwa mrembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.