Mupenz wangu huwa ananipost sana ..nmemkataza asinipost instagrm ila ananipost sana whatsp..sasa dah
Imekua mwiba hii ishu...sjaelewa lengo lake...
Mi huwa nna mawazo mabaya kwel..sometime...
Habari yenu wakuu, bila kupoteza muda naomba kwenda moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu, naomba sana ushauri wenu kuliko kejeli na kunicheka, maana kiukweli napitia kipindi kigumu...
Mapenzi haya ndugu zangu.
Unaweza ukawa na mtu kumbe anakutumua tu.
Ukawa na mwanamke anakutumia tu akuchume pesa zako au akutumie tu kama kivuli cha kufikia malengo yake.
Hivyo hivyo kwa...
Habari za weekend leo nimeona nishare nanyi hii kitu kuna nyakati unakuta mke wako au mpenzi wako anaanza kubadilika visa haviishi ukimtafuta kuyaongea yeye anakumbushia makosa ya nyuma sms zako...
Kipindi hicho ndio nimefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na binti mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali...
Habari za jioni.
Najua nina kiporo changu ambacho niliahidi kukileta hapa. Ni kuhusu kutoka na mke wa FFU na kupata masaibu niliopitia hadi kuachana naye.
Lakini leo kuna jambo ningependa kupata...
Hi guys... hope mko POA!
Iko hiv kuna girl mmoja we are in love now! Yaan mapenzi moto-moto hadi shetani anaona wivu..
Tumepanga mipango mingi Sana kwa ajili ya future yetu..
Tuishi pamoja yaan...
Wengi (Sio wote)
Hii kitu kiukweli na mimi naidhinisha kuna ukweli kabisa.
Wanawake hawa kiukweli kwa mtazamo wangu wanajua jinsi ya kuishi katika ndoa na kumtunza mwanaume na watoto kwa kiasi...
Nitumie njia gani baba mtoto wangu arudi jamani inaniumiza mtoto kuishi maisha ya kuhangaika badae na mama wa kambo. Kwa nilivyomfatilia yupo na mwanamke mwingine ametambulisha hadi ndugu zake...
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea...
Siku hizi mambo yamebadilika wanawake inabidi mue mnaomba gemu maana mnasababu nyingi mpaka wamaume zenu hatuombi gemu au mchezo Mara kwa Mara.
Ukichanganya na ubize wa nitafuta hela ndio...
Nawasalimia wakuu wangu,
Japo kuwa kuna dhana imejengeka kwenye jamii kuwa mwanaume ndio shababi na mwenye maamuzi ya mwisho katika familia na jamii kwa ujumla,lakini ukweli halisi ulio nyuma ya...
Its February, the shortest mounth of the year, but also one of the most interesting mouth of the year. Most people refer to this month as the mounth of love , this is simply because in the middle...
Wakuu! Hodi hapa, nimekuwa msomaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu sasa almost 4 years bila kuandika chochote.
Tushauriane kwenye hili.
Nilikutana na dada mmoja kama miaka mitatu hivi iliyopita...
Mambo vipi wadau
Mimi kijana wa makamo 23 years
Nina aleji ya kupenda wanawake watu wazima hususani walio single kuanzia 40 na kuendelea
Wengi wao huwa wananikata haja zangu haraka...
Nimesikia mara kazaa kuwa wanawake wa bara wako nyuma kwenye mambo ya mapenzi. Binafsi nafikiri hili ni swali gumu kulijibu ingawa linaweza kuwa na ukweli ndani yake.
Karibu ujana wangu mwingi...
Habari zenu wakuu ?, kwanza napenda kuwapa pole kutokana na uchovu utokanao na majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taif letu . Lakini pia napenda kuchukua nafasi hii kuwakupusha ndugu zangu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.