Usione akina lipumba ,hawaoi kuna sababu maalumu
Sababu zinazoweza kukufanya uchukie wanawake wote na mama yako akiwemo
1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehem, mwanamke yuko tiyari...
Habarini wanajamvi!!
Wanawake wamekuwa wakisumbuka na kuhangaika na mambo wasioyajua kwa undani. Wengine wameenda mbali zaidi kwa kuwaendea wanaume kwa waganga ili wawafunge waume zao.
Ukweli ni...
Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.
Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na...
Umri umeenda na kifo kinanijongea...
popote ulipo Natinde elewa nakufa kwa mawazo kama ulivyonilaani!
Leo ni miaka 30 tokea nilipokutana kwa mara ya mwisho na Natinde maeneo ya Monduli...
Natumaini kwema humu jamani.
Mimi sio mgeni sana ila a/c yangu ilipata hitilafu kwa muda mrefu na sikutaka kufungua mpya nmesubiri sana hatimaye i'm back.
Moja kwa moja katika topic, nimekuwa...
Mkataba wangu wa kazi uliisha nikatafuta kazi sehemu nyingine nikapata,mme wangu akanishawishi kuwa mshahara ni mdogo kuliko Mwanzo halafu ni mbali na yeye so bora nijiajiri huku nikiangalia fam...
Habar za mchana wadau wenzangu wa JamiiForums niko na swali dogo tu ambalo nahitaji ufasaha kidogo kuhusu jibu lake [emoji1427][emoji1427]
Kipi ni bora kati ya kuchagua na kuchaguliwa? Hii ni...
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane...
Watalaam nisaidieni hapa hivi huwa kinatokea nini mwanamme mkuchukia mkewe kipindi cha ujauzito?
Yaani hii imekaaje kitalaam. Unakuta walikua wanaishi vizuri tu before ila baada kupata ujauzito...
Habari zenu wana MMU,
Leo nimeamua nifanye kushare na nyie moja ya stage ya maisha niliyoipitia.
Mimi ni kijana niliyelelewa maisha ya kidikiteta geti kali kwa sana,Basi nikikuwa na rafiki...
Mapenzi ni kama sumu kwa hivyo chaguo ni lako uamini kama inaua ama usiamini uonje ufe!ukiwa na mpenzi alafu usimwamini yaani kila mara unafikiria atakuwa anakusaliti hii ni zaidi ya presha soon...
In life, one of the most important choice you will need to make is who to marry. This choice is so important that if you miss it, you will suffer for long, if you get it right then you will enjoy...
Habari gani wananzengo.! Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea na jukumu la kujenga Taifa letu pendwa, Kisiwa cha Amani na Kimbilio cha Wasio na Makazi Tanzania.. Kiukweli najivunia kuwa mTanzania...
Tchaaaooo.
Heshima kwenu wana janvi.
Kila mmoja tunafahamu Tarehe 14 ni siku ya wapendanao.
Je kwa sisi ambao wapenzi wetu wapo mbali na kuonana ni vigumu unaweza ukamfanyia nini jamaa...
Kuna dada mmoja nilisoma naye darasa moja miaka mingi iliyopita, tulikuwa hatuna mahusiano yoyote...zaidi ya hisia zake na zangu kuwa zinawasiliana tu. Wiki tatu hivi zilizopita, nilipokea simu...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 nilikuwa kwanza nina miaka 2 ya ukaaji katika nchi hii ya Mozambique.
Kipindi hicho mapenzi na kila aina ya starehe vilikuwa vimeshamiri sana katika hii nchi, sababu...
Wana MMU hongereni kwa kuona siku ya valentine ya 2020! Nikiwa natoka kwenye mihangaiko ndani ya Costa...Kuna mama jirani alikuwa na mtoto wa kiume mwenye mwaka Kama 1 na nusu hivi maana alikuwa...
Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.