Kuna sehemu kulikuwa kuna mjadala mkubwa tulikuwa tunazungumzia suala la kuoa tukawa tunangalia aina mbili za familia faida na hasara.
Mwanaume kuoa familia ya kitajiri ambayo imewazidi kwenu...
Ni siku nyingine tena na mwaka mwingine tena ninazidi kumshukuru Mungu kwa baraka na utajiri wa afya njema na uhai🙏🙏🙏
Sifa na utukufu ninakurudishia ee Mungu mkuu.
Happy 😊 🎉🎊🎂🎻🎸🎷🎺🥂🍾to me.👏
Wanyabi wazima!!
mi nahitaji kujua what really goes on in the ladies minds hasa wanapokua wanakataa mnyanduano.
Hii hasahasa anapokuwa amekuja ghetto fresh, yupo dressed fresh tu na anaonekana...
Yaan mkaka anahangaika wee adi anapata namba ako
Chatting zake sasa
Him:hi
Me:hi
Him:uko poa
Me:yea am good
Vip:vipi shemeji ajambo
Me; kimoyo moyo mi nasema ii mburura imetokea wapi actually...
Kuna mrembo flani wa kichina alinizimia kama miaka minne hivi imepita. Ni wale maingineers waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa.
Alinieleza baada ya kumaliza shughuli zilizomleta Tanzania alirudi...
Wadau!
Kila mtu ana mtu ambae moyo wake umemuangukia au umeCrush kwake, ila hujamwambia unasubiri subiri muda fulani au Unaona aibu/Uoga kumwambia.
Kama mtu huyo yupo kamawe usisite kumwambia...
poleni na majukumu.
Mwaka jana nimetokea hom nipo mkoani huku natafuta maisha sasa naishi nyumba yakupanga kwenye nyumba tupo poa sana nikama familia 1 tunaheshimiana sana mimi sina mke na...
Wakuu kama ilivyo hivi karibuni tr14-02 kutakuwa na valentine's day kwa watu wapendanao.
Je, wewe mdau wa JF utakua wapi na nani?
Pia unapenda kutoka na nani humu ndani?
Naona mnalisahau sana hili, mnazungumzia chura, mara sijui mcha Mungu lakin nawaambieni njia rahis zaidi ya kuwa maskin ni kumpata mwanamke asiyejua kubana matumizi, mwanamke anayependa kushindana...
Basi bwana kama unataka kurudia nguvu zako kama barobaro wa miaka 20 na kidogo chukua hii
mayai 7 ya kuku wa kienyeji plus habbat sauwda ya unga vijiko 7 vya chakula UTAKULA huu mchanganyiko...
Hatimaye harakati zangu zimefanikiwa kumpata MENTOR wangu kwenye sekta ya mahusiano na mapemzi ya karne ya 21, kizazi cha kidijitali.
CALORINE DANZI ndiye mwana JF pekee kwangu kuniweka katika...
Na Reagany Mchome
14 Februari kila mwaka ni siku inayopambwa kwa rangi nyekundu za maua ya waridi, makadi ya maamkizi, zawadi na alama ya “kopa” inayotambulika kuwakilisha upendo.
Ni siku...
Shabani Matutu
IKIWA leo ni Siku ya Wapendanao, maarufu kama Siku ya Valentine, pamoja na kwamba haitambuliki kama moja ya siku maalumu za kiserikali, lakini imekuwa ikijipatia...
Habar wadau polen na pilika pilika za valentine
Nimejaribu kufikiria hili swala lkn bado hainiingii akilin yaan kuna girls umeish nao km wapenz tena unajisikia hata aibu kumuita mpenz yaan...
Habari waungwana, leo nimeamua kushare nanyi mikasa ya kimaisha ambayo ilinikuta kipindi nipo nyumba ya kupanga.
Ilikuwa hivi:
Mwaka 2006 nilifanya vizuri katika masomo yangu ya Electronics...
Umofia kwenu?
Kwanza namshukuru Mungu aliyetufunulia kuwa sisi ni zetu vichwa vya familia!!
...na tena akasema wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili!!!
Sehemu nyingine akasema...
Riwaya; 'NJAMA'
Mtunzi; A.E MUSIBA (Willy Gamba)
NAONANA NA CHIFU Ndege ilitua kwenye uwanja wa ndege wa mjini Dar es Salaam kiasi cha saa moja na nusu asubuhi. Nilipita harakaharaka katika...
Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna...
Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo
1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa...
Salaam wapenzi wa jukwaa hili bora, katika jamii kumekuwa na minong'ono kuwa watoto wakike hukumbuka nyumbani na kulipa fadhila kwa wazazi wao pindi wanapozeeka au kuwa na uhitaji, watoto wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.