Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Swaiba alialikwa kwenye kikaocha harusi, amefika kule alikutana na binti mzuri sana, kinda bado changa kabisa. Alikuja mjini kwa mwaliko wa dada ambae wanatoka kijiji kimoja, ilkua mara yake ya...
21 Reactions
82 Replies
7K Views
Ni miaka minne sasa yapata tangu nimelize chuo kikuu, mpenzi wangu huyu tulipendana sana, sikuwa na kazi ya kueleweka nilikuwa ni ya kuunga unga tu lakini vingi alivyotaka nilimtimizia. Ajabu...
30 Reactions
86 Replies
8K Views
Hao mademu waliopitia usajiri mapema(namba A na B) ma big mama,mabi mdashi nimeamua kutodate nao mwaka huu 2021,kwanza wanamkosi ukidate nao kupata mademu namba D (hao vipotable ) ni nadra sana we...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Mimi huwa namuona ni ma..ya tu,na ikiwa siku za nyuma nilitaka kumuoa ikashindikana basi namshukuru sana Mungu. Inawezekana vipi mtu ana mume wake anatongozwa anakubali! Halafu anakwambia...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF, Unaishi wewe na mkeo kwenye chumba kimoja, kaka yako kutoka kijijini akaja kutafuta maisha unaishi naye humo kwenye chumba kimoja na ni mwaka sasa umepita toka aje. Tuambizane...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Mimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchat nk. Nikajua hapa Sina changu . Siku moja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo...
47 Reactions
392 Replies
37K Views
Habari zenu wandugu Jf Niliipenda picha ikabidi niipost insta nilipiga nikiwa na wife,aisee mshenzi mmoja si akakomenti,"hahahaaa..kaka huyo malaya na wewe umempitia we noma sana"Sina raha kabisa...
26 Reactions
115 Replies
16K Views
Tokea hii corona ianze una muda gani hujafanya sex? Mimi nina week ya 4 inaenda kuwa ya 5. Hii corona na iishe sasa. Nawaza siku ikisha corona sijui itakuwaje. I miss ma babe, i miss having sex...
3 Reactions
200 Replies
18K Views
.. .. Niko msimbazi B . uyo ndani ya mwendo kasi purukushani za APA na pale, bahati mbaya uyu lady kasimama mbele yangu, aagh sipendi "scenario" ka iz. Yuko ndani ya baibui.. Ushungi juu. A bit...
4 Reactions
122 Replies
24K Views
Nawaza hivi nikiwaambia vijana tunaobishana nao humu kila kukicha kwamba sisi tumeanza mapenzi kabla ya social media yeyote ile kuanza kutumika hapa Bongo na wala hakuna namna unaweza kutongoza...
1 Reactions
3 Replies
692 Views
Habari za Jioni Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24 nimeajiriwa Serikalini Nina mwaka mmoja katika taasisi kubwa hapa Dar es salaam. Changamoto kubwa ninayoipata kutokana na malezi yangu sio...
1 Reactions
19 Replies
938 Views
Habarini JF Katika maisha yetu tumekuwa tukisikia au kuhubiriwa kuwa mke mwema anatoka kwa bwana yaani ili upate mke bora yakupasa umuombe mwenyezi Mungu. Pia, najua unaweza kutumia elimu ya...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari za Mida hii Wakuu.. Mnatusqidiaje Sisi Wanaume Ambao Bado Hatuna Mpango Wowote Kuhusiana na Suala la Kuoa. Hata kwa kuliwaza Tu Hatuna Mpango huo. Huku Tukiangalia Vigezo vya. Mali...
8 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari ya muda huu wana MMU! Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano. Kutokuwa makini kati ya wenza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Je, inawezekana mwanaume katika umri wa late 20's (27,28,29) akaamua kwa akili zake timamu na kwa uamuzi wake kuzaa na mwanamke asiyempenda? Yaani naamanisha mwanaume katika umri huo amuombe...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
The same same mother atanuna mwanae wa kiume akioa mwanamke aliyezaa. Possibly akamkataa even. The same same mother atamshukuru Mungu na kutoa sadaka mwanae wa kike aliyezalishwa akipata mwanaume...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukiacha kile ambacho ametafuta mwenyewe kwa jasho lake, Mwanamke aliyetoka nje ya ndoa ukagundua na kumuacha anastahili mgao kweli? Ulilipa mahari, ukamuhudumia Kadri ya uwezo wako, ukamilisha na...
4 Reactions
7 Replies
767 Views
Ningependa kujua hili. Kwasababu kwa kawaida mtu akikwama mtu wa kwanza kumwambia ni yule wa karibu. Ni nini mtazamo wako?
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu, Mwaka Jana...
49 Reactions
370 Replies
20K Views
Kesho naelekea Dar na nimeshampigia X wangu ambae kaolewa na ana watoto wawili. Ame confirm kutoa mzigo kwani jamaa mida ya mchana atakuwa kazini. Kweli mtalaka hatongozwi
5 Reactions
69 Replies
6K Views
Back
Top Bottom