Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Katika nyimbo zote za Jaydee naipenda sana hii ya USIUSEMEE MOYO japo katupiga madongo sana wanaume lakini yani ukweli ndani yake, wanawake mkichukua hili funzo mtaishi kwa amani sana. Fuatilia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo kwenye ndoa na mke wangu kwa muda wa miaka 5 sasa, mke wangu amekuwa nami bega kwa bega kwa kipindi chote hicho japo changamoto za hapa na pale ni kitu cha kawaida kwenye maisha...
45 Reactions
261 Replies
20K Views
Habari zenu wakuu? Mimi ninampenda mno mama yangu sijakataa, ila nikiwa Kama baba inaniuma mno kuona mtoto wangu anampenda mama yao kuliko Mimi. Na wakati wote nawapenda. Mwanaume nateseka na...
14 Reactions
186 Replies
12K Views
salaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali...
8 Reactions
69 Replies
6K Views
Kumekuwa na kauli ambayo inaegemezwa na uislamu ya kuwa mke mmoja hatoshi kwa hiyo bora wa nne. Kwanza kauli hii sio sahihi ni kauli ya waislamu na sio kauli ya uislamu ni waislamu wanasema hivyo...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
habarini za muda valentine imekaje kwa upande wako je ni siku gani katika maisha yako na kuwakumbuka uwapendao kwa upendo waliokuonesha kwa namna moja au nyingine au ni siku ya sex mana ndo siku...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Anaandika Mkaka fulani[emoji3578][emoji3578] Ukitaka uinjoi Mapenzi basi we JITOE UFAHAMU TU...Ishi kama hakuna LOGIC duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua SITUATIONS na kujaribu...
27 Reactions
81 Replies
7K Views
Salaam kwenu waheshimiwa. Nimetafakari kwa kina kadiri ya ufaham wangu ila sijafanikiwa kupata jibu moja lisilo na shaka na kujikuta nikibaki na "labda" Naamini hapa nyumbani kwa wasomi naweza...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Amani kwenu! Moja ya weaknesses I had was jigjig But after 13hrs bila tongozo na pisi kali aliyekaa next seat naamini Yesu kanibadili. Ilikuwa mwiko nikae na pisi kali jirani safarini mpaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, I hope mu wazima Kama Kuna wenye matatizo tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu Kuna Jambo nimeona tukumbushane kuhusu tabia za kupenda wake za watu.KUMBUKA...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Mahusiano yanahusisha mambo mengi na huhusisha mtu zaidi ya mmoja. Uhusiano wowote ule! Mara NYINGI mtu akitaka kuuanzisha mara nyingi ( always) huwa tayari anakuwa ametengeneza picha ya NAMNA ayo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari watanzania Wenzangu? Siku mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na malaria, nikamjulisha the so called mpenzi wangu kuwa naumwa, akanijibu kwa kifupi "pole and get well soon baby" toka...
19 Reactions
160 Replies
10K Views
Wanasaikolojia wanadai njia rahisi ya kutambua kama mtu fulani anavutiwa nawe ni furaha anayokuwa nayo pale anapokuona na urahisi wa wewe kumchekesha au kumfurahisha. ........................Haya...
10 Reactions
28 Replies
8K Views
Ebwana eheee nimeoa miaka Saba iliyopita lakini cha kushangaza sasa kila siku unaambiwa mapenzi yazidi kuongezeka na sasa si mapenzi tena Mwanaume mwenzenu napata uroda. Asubui nikiamka nakuta...
14 Reactions
49 Replies
6K Views
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige...
9 Reactions
90 Replies
7K Views
Corona ipo ni jukumu lako kujilinda kuepuka misongamano isiyo na lazima na kujilinda wewe mwenyewe... Nmelazwa hapa Temeke hosp wiki sasa and every 5 seconds zinakuja cases za corona mpaka...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, juzi kati tulitoka kiofisi kwenda Mkoa mmoja hivi, kufanya project moja iliyodhaminiwa na Watu wa nje. Ofisini tulitoka watu kama Watatu, na hiyo kazi ilikuwa inahitaji watu wengi kidogo...
6 Reactions
51 Replies
9K Views
Habari, Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo? Wakati flani wanawake...
7 Reactions
146 Replies
10K Views
Habari za jioni wakuu! Kuna mdau tupo nae job juzi alinialika harusini kwake. Alikuwa anaongeza mke wa pili. Kumbe mke wa kwanza amemwambia na amemruhusu japo kinyongeee...ila waliongea...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom