Habari wana JF
Nimeamua kuupandisha sasa ujumbe wangu wa jana kama uzi rasimi ili kujaribu kusaka angalau kupata mamentor nguri kuliko wale akina espy na wenzake maana blahblah zao...
- Jaji mmoja kutoka jimbo la Delta, Nigeria kwa jina Anthony Okorodas amesema ni mwathiriwa wa wizi wa mapenzi
- Okorodas alisema si baba halisi wa watoto watatu kutoka kwa ndoa yake na mke wake...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ni sahihi ushawahi
Kujifanya mjinga kwa kuogopa kumpoteza yule umpendae lakini mwisho wa siku yakakushinda kama ndio njoo utupe ushuhuda ilikuweje
Mimi...
Wakuu salamu kwenu wote, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Hivi ni kwa nini kwa baadhi ya watu( ikiwemo mimi pia) kuna hali fulani ya kuhisi hatia na huzuni ndani ya nafsi baada ya kumaliza...
Umofiaa kwenu,,,kwenu,,,kwenuu..
Ivi wadau hii show ya akina Ofweneke ya Hello Mr. Right show ya Kenya ni kweli ipo real na pale mtu anaweza pata mtu sahihi au ni kuigiza tu kule na mapicha picha...
Mapenzi ni safari ndefu, mwanzo wake unajulikana mwisho haujulkani, kila mtua anakua na hisia zake kwenye mahusiano
Tangu niyajue mahusiano, nina ma ex, takribani 41, ndani ya miaka minne,
Ila...
Hope mko poa
Moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.
Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo...
Ilikuwa ni kazi nzito kwa polisi waliokuwa wakisumbuliwa na wimbi la mauaji ya kimyakimya yaliyokuwa yakifanywa na mtu ambaye hawakumjua.
Polisi walijua kuwa mtu huyo hakuwa wa kawaida kutokana...
Nyie wanawake mnaopenda kuchepuka chonde chonde Haya yafuatayo jitahidini kuyaepuka:-
1. Unapgwa huko mpaka unapata ujauzito wa huko, hii sio pia
2. Unapgwa huko mpaka unaleta maradhi nyumbani...
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period
Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga
Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period...
Mambo kama soul mate tuwaachie tu wazungu, sisi huku ukipata mwanamke anayejua bajeti yaani akiweka mkaa asubuhi akipika chai anauzima, anapikia tena chakula cha mchana anauzima na anapikia...
Mimi naomba Mungu sana nianze kufa mimi kabla ya mke wangu, sababu yangu kubwa ni hii, akifariki mama akaacha watoto wadogo maisha yanakuwa magumu sana, tofauti na akianza kufa baba na hata...
Hebu tupeane madini kwa vijana ambao mlingiaa kwenye ndoa huku mkiwa hamna kazi wala shughuli ya maana ya kuwaingizia kipato
Mliwezaje kuyamudu maisha hadi leo mpoo vizuli na familia zenu
Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani.
Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana...
Aisee
Sijawai kuwa na best friend ila napenda kama niwe na best friend! Nakuaga tu na marafiki ambao tunaunganishwa na masomo, kazi, tukio fulani.
Actually mm n mtu wa kivyangu vyangu napenda...
nawasalimia. habari
mi kijana (23)nmefanikiwa kuanza biashara baada ya kipind kirefu kutafuta mtaji.
nilikuw na laki 2 nimefungua biashar kwa laki na hamsin (nimetimiza week moja na siku 4)...
Kila nikiungalia umri wangu naona unazidi kwenda na bado kimaisha sijajipanga vizuri haswa kiuchumi bado sijawa stable kuwa na kipato cha uhakika kuendesha familia.
Hivyo basi kwa wale wana...
Habarini wana jamvi wa MMU.natumai ni wazima wa afya .
Ningependa nizungumzie jambo moja tu.
Kumekuwa na desturi ya wa2 kujazana ujinga na mabaya tu kuhusu ndoa hasa kwa wanaume.tunasema kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.