Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ilikuwa ni weekend hii iliyopita jumapili hii nilikuwa harusini ni mshikaji Wangu wa karibu ameowa lakini cha ajabu wazazi wake hawajui Nilipokuwa ukumbini aliniita chobingo akaniambia haya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Vitabu vya imani dhambi iliingia duniani siku ambapo Mwanamke alimletea Chakula mwanaume. (Tunda). Kunauhusiano Mkubwa kati ya pesa na kutawala. Ndio maana hata kwenye ukoo mwenye...
13 Reactions
89 Replies
6K Views
Wadada Mjini mmezidi aisee. Mtu kakutongoza tu tayari unakuja na Invoice ya matatizo ya ukoo mzima. Sijui Kodi, michango ya kitchen party, send off, misiba,ubatizo na harusi. Hata sisi tuna yetu...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
sio siri ndugu zangu huu ugonjwa unaua sana hasa watu walio na umri mkubwa, nimempoteza shangazi yangu na mpaka sasa tupo kwenye shughuli za mazishi, alilazwa ghafla, tukaambiwa ameshindwa kupumua...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Habali za masiku wakuu, Nipo kikazi hapa makao Makuu ya Nchi, kiukweli huu mji siuelewi kabisa. Em tuambiane viwanja tulivu vya kutulia na kawaini kako siku za wekend. Tchaooooo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu! Leo ni siku ya kwanza, kawasili jana usiku nami nimeamkia mihangaiko yangu. Kwa haraka haraka nilivyomuona anafaa, sasa sina uzoefu nifanyeje ili kumwongoza vizuri na kuboresha kazi zake...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna mwanamke mmoja ambaye yupo late 20's ninayemfahamu kwa miaka kama miwili hivi, ni mkristo na nilikua nikimuona ni mtu wa ibada sana, kwa vile tulikua na mazoea ya kawaida. Kuna siku...
17 Reactions
118 Replies
11K Views
Habari ya muda huu wana MMU Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua naomba kufahamishwa juu ya hili kabila la WABENA. Hususani kwa upande wa wanawake. To cut the story Ni kwamba mwezi wa pili...
3 Reactions
127 Replies
12K Views
Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mambo mengi wanawake wanaongopa, mfano eti nina ugwadu hatari, hakuna kitu kama hicho ukweli ni kwamba yote haya ni ili wapate pesa. Ndio maana ji rahisi mwanamke kumwambia mwanaume ana ugwadu...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
.......basi, Mimi nikasema acha niwe mnyonge, Boloyanki yeye abaki na huyo mke, amchukue tu. Mwaka 2017 hiyo. Baada ya miezi kadhaa naishi bila mke ambaye wafanyakazi wenzie walikuwa wananiambia...
27 Reactions
50 Replies
5K Views
Binafsi haya mambo ya kugandana kila mahali tuko wote, ikitokea tuko ndani basi weekend nzima tupo tu tumegandana mi huwa siwezi kwakweli yani ntajikuta nadanganya kuwa naenda kuangalia mpira ili...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri...
6 Reactions
76 Replies
137K Views
Habari za sasa wakuu, mpaka naandika uzi huu nipo njia panda sijui nielekee wapi? Sijui nifanyaje mimi!? Ni muda sasa tangu mpenzi wangu aanze kulalamika anasumbuliwa na jamaa mmoja hivi (ambayo...
13 Reactions
100 Replies
7K Views
Mwanamke hupenda pesa zaidi, wakati wanaume huhitaji sex zaidi. Ikitokea mwanaume amemuomba haraka sex mwanamke ataambiwa ni mapema sana. Lakini wakati huo huo Wanawake huomba hela haraka haraka...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Hapa sizungumzii wale wanawake wanao ingiliwa kimwili na waganga kama sehemu ya tiba .. Ninazungumzia wanawake ambao kwà ridhaa yao wao wenyewe huingia katika mahusiano ya kimapenzi na waganga wa...
7 Reactions
37 Replies
10K Views
Nimemkumbuka baba angu leo, asubuhi nikampigia simu tukaongea zaid ya dk 40 tumeongea mengi sana, huyu ni mzee wangu, mzazi hasa ni zaidi ya mlezi kila kitu nilivyo leo ni msingi wa huyu mzee, km...
20 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna hali inarudi kwa kasi mno... Wazee kuoa mabinti wadogo sawa na watoto wao ama hata wajukuu Kipindi cha nyuma walijulikana kama wazee wa bandari lakini hawa hawakuwa waoaji bali waliwaweka tu...
10 Reactions
139 Replies
17K Views
Sio kila mara mwanaume anaweza kuwa wa kwanza kumpenda mwanamke, mara nyingine mwanamke anaweza kuvutiwa sana na mwanaume lakini kawa hana njia rahisi ya kuweza kukwambia hisia zake kamili badala...
19 Reactions
77 Replies
20K Views
Habari wana JF , kila siku nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani anayetoa haya majina tunayowapa wanawake , yana maana gani ,je yana athiri vipi ufahamu wao , Kumekuwa na wimbi kubwa la majina ambayo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom