Moja kwa moja tutembee kwenye mada
Hivi wanawake tuanze kuwahonga kima chachini Tsh ngapi kabla ujapata chochotee kutoka kwake maana waneweka pesa mbelee kuliko chochote
Unakuta unamtongoza bint...
Asubuhi ya tarehe 4/9/2016 nikiwa nimetulia na rafiki yangu maeneo ya kazini kwetu (Ruhuwiko Songea) nikawa napitia emails nakuta rafiki yangu kipenzi kanitumia Meseji anasema wamefunga Chuo na...
Ukweli ni kwamba sie wanaume especially mimi manzi akiwa mvaaji wa shanga basi ananimaliza kabisa. Kwanza shanga huleta muonekano mzuri sana pale zinapokuwa zimefanya mizunguko kadhaa kiunoni mwa...
Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana .
Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja ..
Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo...
Habari waheshimiwa wa jukwaa hili?
Jana nikiwa zangu naendelea na shughuli zangu za ujenzi wa Taifa letu tukufu, nikapokea simu kutoka kwa mdada mmoja ambae alikuwa mtu wangu siku za nyuma, baada...
Chawa naozungumzia ni chawa watu!, Achane na wale chawa wanaotafuta pesa nazungumzia chawa yaani Rafiki wa mpenzi wako!
Unaona kabisa mpenzi wako yupo vizuri kitabia ila chawa wake ambaye ni...
Habarini humu jamvini. Natumai mu wazima kabisah .
Nirudi kwenye mada , ni hivi Nina manzi angu moja hivi ambayo kidogo inanishangaza.!
Yani yeye swala kumwambiya sina kwa chochote anachoomba...
Nyuzi za wanaume kutafuta wanawake wa kuoa zimekuwa nyingi kwenye mitandao ya kijamii halafu wanawake sijui mnafeli wapi mnatukatalia vijana tunataka kuoa Sasa hivi tuko serious tumechoka kulala...
Hi.
Hivi watu mnaoachana na wapenzi wenu kwa sababu yoyote na kisha baada ya kuachana kila mtu anakuwa na mahusiano yake na nyie mnarudiana mnageuzana michepuko, mnawezaje huu upuuzi?
Unakuta...
Habarini wana nzengo.!
Ni hivi , kuna mambo ni muhimu kukubali ukweli tu ili kuepusha magonjwa ya kujitakia .
Swala la mwanaume kuwa pekeake kwa mwanamke haliwezekani , na swala LA mwanamke kuwa...
Kuna huyu binti tulidumu kwa kama miaka mi3 hiv baada ya kumaliza chuo aliniachaga sababu nilikua sina hili wala lile.
Mimi nikiachana na mtu huwa siachani kwa shari hata kama yeye ndo...
Nimekuwa nikila uroda na demu wa rafiki wangu kwa muda sasa. Hili limekuwa likifanyika kila rafiki wangu anapoingia zamu ya usiku pale kazini pao.
Huyu demu wake hupenda pesa na anasa. Nilianza...
Mpaka nimeamuwa kuandika; nimeshidwa kuvumilia nataka majibu
Mke wa kwanza baada ya kumpa talaka mungu kanijaria nikaowa tena; baada ya mwaka tumepata mtoto,
Sasa matatizo ndio yameaza,napewa...
Wahenga baada ya sarakasi zote.....kuvuka milima na mabonde, mito, maziwa na kurudi kusimama imara kufurahi pamoja ni afya😃😃
A throwback to better times and even better memories😍😍💃
💣♥️🙏
Kaeni kwa kutulia, tumeshakubaliana ni hivi mapenzi ni kama vile mmekutana club ama sehemu yeyote ile ya starehe hakuna yeyote anayemshauri mwenzake ni kwa namna gani atumie pesa zake
Sasa hivi...
Hii hali wababa mnaijenga wenyewe. Hivi baba ulishawa kutaka kujua mwandiko wa mtoto wako, rafiki zake au hata mwalimu wa mtoto wako. Mapenzi si pesa tu unaziacha nyumbani. Kujenga bound na...
Hope mko poa...
Niwaibie siri mwenye maskio na asikie. Jamani siku hizi kuna kamsemo, "mwanaume akimwaga mboga we mwaga ugali ikiwezekana mwaga hadi maji ya kunawa".
Jaman mwanamke asiposimama...
Umewahi kupeleka mahari kisha hukurudi tena na ukaachana na ndoa? Umewahi kutolewa mahari na muoaji hakurudi tena? Umewahi kushuhudia mahari imetolewa na ndoa ikafia njiani?
Kwa kuwa tunafahamu...
Nipo tabora harakat za maisha. J2 nikiwa na mwenyeji akanipeleka viwanjani hao tukatia guu pale oxygen lounge. Kwa mbali nikazoom toto moja zuri sana la kinyamwezi, pesa kwa wallet ilikua inasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.