Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hello wana MMU !! Kuna kitu nimekisoma katika uzi wa ramona na kimenifikirisha kwa kiasi kikubwa, zipo tabia fulani tunazo, zingine tumefundishwa wakati wa ukuaji, zingine tumerithi kwa vizazi...
6 Reactions
618 Replies
48K Views
Maisha yenyewe yashakua vagara vagala vululu vululu ,huku covid kule covid version 2.0 kule chanjo huku kuchokonolewa site nyeti ilimaradi tu mambo yawe shagalabaghara. Leo bana nimeona nishare...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau ipo hivi nilikua na mchumba wangu tuna mahusiano tokea mwaka jana katikati tumeenda vzr tatizo lake anadai akimaliza diploma yake ya sheria mwezi wa tatu anataka aendelee kusoma...
1 Reactions
19 Replies
37K Views
Mpenzi wako akikuzidi pesa au cheo anaweza hata kukunyea mdomoni. Sisi tukuwa na pesa tunaweza kuishi nao kwa amani lakini wao sasa ni kitendawili. Kilichonitokea leo kimenifundisha kutafuta pesa...
15 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari wana jf Kadri siku zinavyoenda nimekua naiangalia hii tamthilia anayoicheza mdogoangu hapa Duniani bado inaniweka njia panda Iko hivi, mdogoangu alianzisha mahusiano na mwanaume ambaye...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakubwa, Salamu! Kama wiki 2 zilizopita, nilizifuma meseji za Kimapenzi Kwenye simu ya Mpenzi wangu niliyenaye kwa miaka miwili sasa. Simu yenyewe nilimpa mwenyewe na akaiangusha hivyo nikasema...
7 Reactions
140 Replies
14K Views
Nipo na toto moja la kimanyema pembeni tunapiga stori ananiambia kuwa usione ugomvi majumbani mwa watu tatizo nguvu za kiume, mwanaume kukaa bila mazoezi mgege haupitishi damu upo tu wakati kuna...
12 Reactions
58 Replies
8K Views
Mwanamke ameumbwa akawekewa nakshi mbalimbali mwilini mwake za kuvutia kama matiti, matako laini, miguu iliyoumbika, hana manyoya bali ngozi laini na nyororo, nywele nzuri, mapaja ya kuvutia...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Ipo hivi, Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu. Lakini...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za machana wana MMU. Ni matumaini yangu makubwa kwamba wikiendi yako inaenda vyema sana. Kwa wale ambao wikiensi haiko vyema leo kwa sababu unaumwa au huna pesa n.k piga moyo konde na uwe...
5 Reactions
73 Replies
9K Views
Nina ndugu zangu 11 kwa baba, wanne kati yao tumezaliwa baba & Mama mmoja, Mama yetu aliachika akaenda kuolewa na baba mwingine huko nako kuna ndugu zangu wawili jumla nina ndugu 13, baada ya mama...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo ndiyo birthday ya Kiranga wakuu. Tujumuike japo virtually. Asanteni.
53 Reactions
278 Replies
23K Views
Kutumia mitandao kuna changamoto sana Watu wengi wamejikuta wanapata karaha kwa kutongozwa mtandao Ingawwa wengine wanapenda Saababu Picha unazoppost Muonekano Au lugha Jina unalotumia Au...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Mimi nakumbuka niliwahi kuwa na manzi/Msichana mmoja katika kupiga piga story akaniambia: “Hivi siku ikitokea nimekuacha utafanya nini?" Nikamuuliza "umefikiria nini kusema hivyo?" Akaniambia...
43 Reactions
173 Replies
20K Views
Jamanii eeeh Kama mada inavyojieleza hapo juu Hapa nilipo nna hali mbaya Sana,mwili umechemka maumivu ya viungo ndo usiseme. Nikajikaza nije hospital kupima,hapa nimemkuta dokta binti binti...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Wasalam Moja kwa moja kenye mada, Hivi unawezaje kumrudia mtu ambaye mliachana. Waza kwamba mhusika unaetaka kumrudia kapita na wangapi toka mmeachana. Kama mwanzo hamkuweza kukuza uhusiano wenu...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Ukiijua kweli itakuweka huru. Hii ndio kweli hata kama ni ngumu kuielewa. Ipo hivi, mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu, na hawezi kuvumilia matumizi yako mabovu ya...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kila mtu anavutiwa na baadhi ya fasheni hasa pale umpendae anapovaa basi roho inajisikia muruaaaa kabisa kiasi cha kwamba unatamani hata umtongoze tena.. Ni vazi gani linakuvutia zaidi akivaa...
9 Reactions
161 Replies
15K Views
Habari Jf, Mimi ni kijana wa kiume, miaka ishirini na sita [26], Nimetoka mkoani na kuja kuishi huku dalisalama kikazi. Kama mjuavyo huaba wa nyumba🏡🏡🏡🏡 za kupanga nikajikuta nimepanga katika...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Mapenzi ni imani ya ajabu kidogo. Mambo ya ajabu kwangu katika ulimwengu wa Mapenzi Ni hivi. Wanawake wote ambao Mimi niliwapenda kwa dhati ya Moyo wangu na kutamani kuwa nao kwa mapenzi na...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom