Pamoja na changamoto za maisha zinavyotupeleka kasi, hivi karibuni kumekuwa na matangazo kila kona ya kurejesha uanaume. Mshana husema urijali, Bujibuji husema nguvu za kiume, hali kwa asilimia...
Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza...
Wadau wa JF , Kama hiyo tittle hapo juu inavyosema kiukweli hali imekuwa mbaya , [emoji24] Takwimu juzi zimetolewa nikawa nasikiliza ,Dar inaongoza ndoa zinavunjika sanaa , wadada wanalalamika...
Piiiipooozzzzz.....!!!!
Mie niko Calabash
Napiga Savanna kama nanawa sanitaizaaaa 😜😜😜😅😅
Cheers everyone but take care, the shit is real 😉.
Kasie Matata.
Miaka miwili nyuma niliachana na binti mmoja single mother, alikua na mashauzi sana na kujiona mzuri ikatokea tukaachana, ni binti aliekua ananichukulia poa sana aliniona sina pesa.
Sasa leo...
Habarini wanajukwaa.
Mwezi ujao naingia miaka 31 kwa sasa nipo ukingoni mwa 30.
Kwa nipo na mke wangu tukiwa na watoto wawili.
Maishani mwangu nilianza rasmi kuwa na mahusiano serious ya...
Ukipata mpenzi mpya hakikisha unampa care ya kiwango cha hali ya juu!,usimchukulie poa onyesha maajabu kama yote kwenye bed!
Sms za uongo na kweli zisipungue!hakikisha unamuona kila siku...
Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au ham imeisha kabisa ya tendo.
Lawama hizo...
Habari wana Jf
Niko powa naimani mko powa pia katika kukimbiza uchumi wa kati na life lisogee tufe.
Iko hivi wanawake wa siku hizi mambo mengi ikiwapo na mitandao na lifestyle imechange basi...
Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli.
Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino.
kwa sasa nimeo...
Wakuu!
Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa.
Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja...
Kuna mtu kaiba Kadi ya Bima ya Mkewe kaenda kumtibia Mchepuko wake wa nje hospital moja Kubwa Baada ya Muda mchepuko umefariki na hospital umetoa cheti cha tangazo la kifo kwa Jina la mkewe...
Wakuu wa jamvi hali ni gani uko kwenu kitaa.
Yaani hawa kina hawa wanatanguliza pesa mbele kama tai. Kama huna pesa utaishia kula wale wa short time kule Sinza na Manzese wa buku 3 na buku mbili...
Mimi babumawe nikiwa na akili zangu timamu kabisa for the first time nimepanga kumpa manzi wangu nusu ya mshahara wa mwezi huu.
Sababu na chanzo kinachopelekea kufanya maamuzi haya ni kumuonesha...
Hongereni wanaume marijali mnaotunza familia zenu na watoto Jambo linalopunguza watoto wa mitaani , Leo nilikuwa katika usafiri wa public transport kulikuwa na majaridiliano makali kuwa wanaume...
INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda...
Haya maisha haya!
Hivi tumefikaje huku? Sina uzoefu kipindi cha nyuma, ila inaaminika ilikuwa ngumu sana kuimbisha 'mtoto' hadi akuelewe.
Siku hizi ni chap tu, beki hazikabi!
Sidhani kama...
Wakuu kwema,nipo mkoani napiga mishe zangu za kutafuta maisha. Juzi kati wakati natoka nilipishana na mtoto mmoja wa Kizanzibar mkali kinyama anaelekea kituoni nilivomuona moyo ukastuka ila...
Wasalaam wakuu
JamiiForums ni kama familia ambayo nimeona wengi wakishea matatizo au mazuri yao na hupokea ushaur mbalimbali kutokana na Jambo husika. Na Mimi Kama kijana naombeni ushaur wenu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.