Jana nilikutana na Rose katika mihangaiko ya maisha. Rose ameolewa na ana watoto watatu. Alikutana na mume wake shuleni, na wako kwenye ndoa kwa miaka 20 sasa. Rose alinionyesha nyumba ya...
Huyu ni jamaa yangu ambaye tumejuana hata mwaka haujaisha. Kiufupi jamaa anajiona janja Sana wakati hela Hana nakumbuka siku moja alinikaribisha kwao basi nikatimba maskani mwao ile kuingia...
Mwaka 2013 mwezi wa tano nilimdaka juu kwa juu baada ya kuachana na mumewe, mapenzi yalikuwa motomoto nilitamani sana kumuoa lakini nilikuwa kila nikikumbuka habari za wapenzi kurudiana moyo wangu...
Habari za wakati huu wanajamvi wenzangu.! Poleni kwa majukumu na Hongereni kwa Kumaliza siku hii kwa amani na kwa wale ambao siku yao haikwenda kama ilivyopangwa basi tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa...
Habari za Leo wakubwa,
poleni na mihangaiko jamani,
Basi leo nimejikuta nawaza mbali sana baada ya kukutana na dada mmoja ana mikucha mirefu balaa mara pap nikakumbuka movie ya shumileta...
Hi guys,
Leo hata sina mengi naomba tu kuuliza hili,
tunafahamu kuwa wanaume huwa mabingwa wa kutusifia wanawake, uwe umependeza, unanukia vizuri, au vyovyote vile inavyofaa kiheshima na huwa...
Unakuta demu umekua nae mkiwa watoto au kusoma nae mpaka std 7, sometimes mmemaliza nae sekondari. Lakini mmepotezana miaka kibao zaidi ya 20. Akikutana na jamaa zenu anauliza ulipo na kutafuta...
Habari za siku wapendwa.
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwao wananitambua na michakato ya kutoa mahari nilishaianza kwa maana ya kishika uchumba, kiasi kwamba wazazi wake walinikabidhi kuishi...
Mara nyngi naona humu watu wana mawazo km haya, tena sio humu tu karbia watu wngi weusi wana mawazo haya hasa watanzania ati wazungu wanapenda sana anal sex. Wanamini km msichana akiwa na...
Kipindi nipo form 2 nilibahatika kufall inlove na mtoto mmoja wa kinyankole ( kwa mliowahi kuishi Uganda mtakuwa mnafahamu watoto wa hili kabila), aisee! mtoto alikuwa mkali, mweupee macho kama...
Ndugu zangu habarini za mwisho wa wiki,
Leo naombeni walioko kwenye ndoa hasa wanawake wanisaidie jambo moja ambalo nimeliona. Mara kadhaa nimesikia wanawake wakisema kuwa "Mwanaume haishiwi...
Nawataharifu kkuhusu sheli za oil com ni wezi vibaya tahathari ukiwa unaweka mafuta usikae kwenye gari shuka uhakikishe nilijua ni mimi tu nimepata ili tatizo nimekutana na rafiki zangu 3...
Kila siku mmekuwa watu wa kulalamika tu mara ohooo mume wangu ana michepuko mara boyfriend wangu ananichiti, ndugu zangu niwaambie tu siku hizi mapenzi ni ushindani kama unavyoona ligi usipompa...
Habari za muda huu wana Jf matumaini yangu wote muwazima wa afya.
Lengo kuu la kuanzisha huu uzi ni kutaka kumuomba msamaha girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana takribani miaka 7...
Ni habari ya zamani sana huko kijijini sitimbi lakini hadi leo nacheka sana nikikumbuka! Ilikuwa hivi, kuna binti mmoja kijiji cha jirani alikuwa hataki kunipa mchezo, nikachoka...
Leo nimemkumbuka huyu bi dada.. Katika pilika za hapa na pale nikabahatika kula buku buku zake... Zipofika buku tano, manung'uniko yakaanza kwamba eti namu exploit.
Yani bila kujali benefits...
HABARI GANI MARAFIKI HUMU NDANI NI MATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA NJEMA.
Nakuja mbele yenu ili niweze kupata ushauri juu ya hili tatizo linalonikabili la ninapokaribia kufika kileleni (mshindo)...
Haya leo nirudi tena kwa ndugu zangu ambao wamehangaika kupata mtoto. Kwa wanawake huona kuwa mtoto huwa ni mokozi wa ndoa zao, inaweza kuwa kweli kwa kuwa mahusano mengi huvunjika kwa kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.