HEBU SOMA AYA HII KATIKA QUR'AN KWA UMAKINI MKUBWA NA KUTAFAKARI...
Suurat At-Talaq 65:1
"يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِىُّ إِذَا طَلَّقْتُمُ ٱلنِّسَآءَ فَطَلِّقُوهُنَّ لِعِدَّتِهِنَّ وَأَحْصُوا۟...
Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes...
Upo katika mahusiano na kimada wa mtu, baada ya miezi kadhaa unaona kitumbo kimetutumka lakini yeye hakwambii lolote kuhusu hicho kitumbo, na wewe kwakuwa unajua ana mtu wake maalum unaamua...
Mahusiano yana changamoto nyingi, na moja ya changamoto hizo ni pamoja na watu kusalitiana.
Watu hucheat kutokana na sababu mbalimbali, zingine zinazoeleweka na zingine zisizoeleweka.
Mfano...
Jirani kwangu nimeshuhudia demu anayeishi kwa wazazi wake baada ya wazazi na kaka zake kuelekea kanisani kaja jamaa wa mtaa wa pili kaingia ndani. Kwa umbea wangu nikaruka fensi hadi dirishani kwa...
Kama una mwanamke mna mahusiano naye na haujamuweka ndani basi usimtumie zaidi ya 20000 ndani ya Mwezi utakuja kujipiga makofi labda chakufanya we mpe hela ya vocha tu buku jero au 2000 kwa week...
Hi JF
Kwa kifupi kuna mtu nilishafanyaga nae mapenzi alafu nikajisahau kutupa condom. Bro wangu alienda kwa kimada wake na mimi ndo nikatumia mwanya huo.
Shemeji nae siku hiyo ndo alikua...
Hivi wanaume mna nini, yaani nimegombana na mume wangu kisa nimempost X wangu ambaye ni marehemu na kuandika “Nitakukumbuka daima, hakuna siku inapita bila mimi kukukumbuka”
Mume wangu kanuna...
Ni mwanamke ambaye nilimkuta anamtoto bila mimi kujua,nilijua tu baada za kuzaliwa mwanangu wa kike Kama anamtoto ambaye alimzaa akiwa kidato cha pili,kwasasa tayar yupo darasa la kwanza huyo...
Ni muda ambao unamkumbuka sana yule uliyempenda sana kwa dhati, unatamani ingekuwa ni jana tu ili leo mrekebishe makosa yenu na kuanza upya! lakini unajikuta umechelewa sana kiasi kwamba huna...
Ndugu zangu hizi karibuni nilipandisha uzi juu ya mke wangu kulalamika ananimiss sana mzigo wangu.
Nimejikuta sina namna zaidi ya kuandaa karibu 6M kwa ajili ya Safari ya kwenda na kurudi.
Ila...
Nilipokua katika daladala nilimuona dada mzuri sana, kwa umbile lake yaan, shape, rangi na sura ni mzuri hakika.
Watu walipopungua alipata siti akakaa , nikaona niendelee kufaidi uzuri wake...
Kama ujumbe unavojieleza.
Nina mke ambaye ni mjamzito, ujauzito uko kwenye late first trimister, amekuwa akinisumbua kuwa ana hamu ya mashine yangu muda wote na bahati mbaya niko mbali sana...
Mwaka 2007 nilikutana na kijana mtanashati sana. Kweli nilimpenda sana sina uhakika kama na yeye alinipenda pia. Nilitoa muda wangu mwingi kwake. Lakini siku moja tu alikata kabisa mawasiliano na...
Wasalaamu wakuu!
Imenilazimu kuja na uzi huu baada ya kuona Hali inazidi kuwa Tete
Mwaka 2017 nilibahatika kukutana na Mrembo fulani shombeshombe Mkoani Pwani(home), Ambaye nlimpambania kwa...
Being safe gives faith, and so on, to people with 4/5 drizzling, who can invite everyone to a party that will last a long time and the joy will stay forever.
When the sun gets too hot, it is...
Waiter mwambie Dj apunguze sauti ya mziki kidogo naongea na ma greater thinker....
Hi Jf members!
Leo bhana tulikuwa kama kaubishi flan hv katika kilinge chetu cha kujitafutia kipato.
Kama kawa...
Wahenga walishasema ndugu wakigombana shika jembe ukalime! Aisee waliona mbali sana
Sasa ukitokea wapenzi wamegombana na wakaja kuomba ushauri na wewe ukamponda mpenzi wake ni kumshauri kuwa...
Je? Unakumbuka zile kero!,ni kero ambazo ulikuwa unapokea sms kila mara kama umekula?,unafanya nini?
Zile kero ambazo unapigiwa simu kwa muda mrefu anataka aongee na wewe!,mara video call!,mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.