Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu....natafuta lodge iliyo karibu na masaki maana kuna mtoto yuko hapo benki masaki wikii ameniambia nikamle mida ya lunch mana ndo anakua free...sasa wadau lodge gan iko karibia na mitaa hiyo
2 Reactions
80 Replies
9K Views
Habarini wadau, mazoezi ya sit ups na push up yanafaa sana kama mtu una tatizo wakati wa mechi. Kama una tatizo la kuwahi kufika cha msingi ni mazoezi. Fanya push-ups 100 asubuhi na 100 jioni...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari za muda huu wakuu, mimi ni member mzoefu ila nimeamua kuja na Id nyingine ili niweze kuwa huru zaidi kwenye hili lililonifanya niandike huu uzi. Kuna jambo linanitatiza sana nahitaji...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Ni muda mrefu sana nilitafakari , hili jambo nikijitahidi kupitia vitabu na chunguzi mbali mbali juu ya jambo hili , Ukweli nimekuja kugundua Kupendana pekeee hakutoshi wala hakufanyi ndoa yako...
1 Reactions
5 Replies
854 Views
Katika zunguka zunguka zangu leo nmepata ring [emoji183] nzuri kwa bei poa kabisa ya Tshs 3,000/= ni gold kwa ajili ya engagement jamaa amesema kama itakua mbaya nirudshe anibadilishie. Wakuu nyie...
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu,.... Moja kwa moja niende kwenye maada "Je ulishawahi kuachwa na mtu uliyempenda sana ikaku stress kiasi kwamba ilikuadhili kwa namna yoyote kwenye kwenye maisha yako". Nauliza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu. Kuna baadhi ya bia nasikia zinasababisha mtarimbo ulale doro. Pia nasikia kuna vinywaji vingine vinasababisha rigwaride ridumu kwa muda murefu. Naomba tujulishane hapahapa...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Ilikuwa asubuhi moja nazungumza na mpenzi niliyekuwa nafikiria kumuoa nikamuuliza kuwa endapo mzazi wake atafahamu hali yangu ya kiuchumi, kuwa ni ya chini je atakubali nimuoe? Akasema hawezi...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari watu wa nguvu, nna kisa kidogo nataka tujifunze pamoja. Mwanzo kabisa nilipokuwa mdogo miaka 12 sikua najua chochote kuhusu mapenzi, ila katika umri huo nilikuwa darasa la 6 na wenzangu...
1 Reactions
12 Replies
10K Views
Mama mtu katoka mkoani kuja Dar bila taarifa, kakuta binti yake amesafiri kwenda Dubai kufuata mzigo. Akabaki ndani na mume wa binti yake na wasaidizi wa ndani. Yakutokea yakatokea hadi kapata...
3 Reactions
6 Replies
965 Views
Huu ni ukweli, ukweli utakaowaumiza wengi mliopo na mnaotarajia kuwepo kwenye ndoa. Ndoa za sasa asilimia kubwa zinaishi kimwili tu na kiroho zilishakufa zamani. Mlikubali kuwa mwili mmoja...
8 Reactions
65 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wadau, Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula Unaweza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Wanawake saa zingine tuna dhambi mbaya, just imagine mtu anamuacha mumewe ambae ana miaka 60 kwenda juu mbaya zaidi hamuachi akiwa economic stable, unamuachia Nani??? Jana nilikuwa kwenye kipindi...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Uzuri wa mwanamke upo machoni kwa mtu na hakuna mwanamke mbaya hapa duniani nianze Kwa kusema hivyo. Nirudi kwenye mada yangu, kuna wanawake ni wazuri kupitiliza akipita mbele yenu lazima mkubali...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Many people around the world have the perception that Africa inhabits uncivilized and uncultured people who wear animal skins and hunt in order to get their meals...perhaps it’s because of how the...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni mara kaadha nimekua nikiskia baadhi ya shuhuda kwa baadhi ya wanandoa walionza kupambana na maisha wakiwa hawana kitu au walionza from zero mpaka wakawa na vibiashara na miradi kadhaa. Leo hi...
3 Reactions
124 Replies
12K Views
Hapo juu ni ujumbe wa mchumba wangu, ambaye nimeamua kumpenda japo yeye ananipenda kupitiliza Ni mtoto ambaye amezaliwa ndani ya familia ya kitajiri japo upande wangu hawajajua vizuri maana...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Habar zenu wana Jf wa jukwaa pendwa la mahusiano,mapenz nk. Ndugu zangu mimi leo na mada kama inavoonekana hapo juu. Kwanini baba wengi wana wivu sana kwa binti zao?? Mfano mimi demu wangu baba...
1 Reactions
82 Replies
8K Views
Love is one of the most wonderful things in life.The union of two people who at once were completely strangers is such a an amazing things .However there are many things that are needed in order...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom