Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!
Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya...
Katika mambo wanaume tunakosea ni pamoja na kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na wasichana wetu wa kazi jambo hili ni baya na linawaumiza wake zetu sana na kiwango cha juu cha dharau kwa mke...
Hello members,
Ni kipindi sijakutana nanyi tena ndugu zangu wa MMU natumai mu wazima.
Leo nimekuja na kisa nilichoshuhudia kilichonifanya niandike uzi Huu Siku ya Leo tukielekea valentine day...
Last week end nilipata nafasi ya kuongea na Wazazi wangu. Kama ilivyokawaida, huwa napenda kumpigia simu Mama, nikishakaliza kuongea nae basi umuomba ampe na Baba ili tuongee pia.
Kwavile huwa...
1. Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana
2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje
3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira...
Habari zenu ndugu zangu ambao hatujuani kwa sura wa majina!
Wahenga wanasemaga katika mtihani wa maisha hutakiwi kuigilizia au kupiga chabo maana questions paper zetu ziko tofauti. Ila kwa upande...
Wanajukwaa la MMU habarini za mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa.
Binafsi huwa nikipata shida na kukopa pesa kwa marafiki huwa nipo faster Sana kurudisha mkopo...
HEBU MSOME HUYU FUNDI BOMBA
Siku ilianza kama kawaida, niliamka mapema na kusafisha nyumba huku nikisikiliza kipindi cha "Jambo" redioni. Sikuweza kujizuia kujitingisha mageka na ------ kila...
Kama una mpenzi na unahisi ana wapenzi wengine dawa yake ni kama utakuwa nae siku ya Valentine mda wa kula tunda ukiwa na ule mzuka wa kuja unakamata shingo alafu ukija unapiga meno kwenye shingo...
Kama umepata mwanamke na ukampenda kwa kweli unachotakiwa kufanya ni kumuonyesha mapenzi ya kweli licha ya mapenzi mfanye awe rafiki pia!
Sasa kazi ya muhimu kabisa unayotakiwa kufanya na...
Kama una uzoefu wa kuishi kwenye nyumba za kupanga utakuwa unanielewa zaidi nikitaka kuongelea tofauti kati ya mwenye nyumba anayemiliki nyumba nyingi na yule ambaye Mungu kamjalia kuwa na...
Salaam, nimekua sipo kwa muda mrefu ila hatimae nimerejea hewani shukrani kwa Muumba. Leo narejea online kwa kudadafua janga kubwa katika jamii, karibu:
Kumekua na semina kibao za ndoa ila...
Mwaka jana mwezi wa 7 hivi..nilipata seke seke kazini hivyo nikaachishwa kazi ghafla - Huku nyuma nilikua na mwanamke naishi nae na tulikua na mtoto mmoja, Wakati naondoka kazini kodi katika hio...
Wakuu mambo, Mpo poa.
Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio...
Kama kawaida yangu kila mwaka lazima niwe na Sex Tour ya kwenda mkoa flani kwa ajiri ya mchakato,
Mwaka jana nilikuwa arusha wiki moja na wiki moja niliimalizia Singida,
Mwaka huu Ratiba yangu...
Aisee! Mpaka muda huu sielewi tatzo nini wakati si kwamba ndio GF niliempenda kihivyo. Ila tulidumu muda mrefu sana alikua ananipenda sana. Katika wanawake walionipendaga huyu alizidi.
Nilikua...
Nakumbuka kipindi hicho nipo nyanda za juu kusini bado naendeleza harakati zangu za kunifanya nitoboe kimaisha. Kuna eneo fulani nilistack kwa muda mrefu sana nikifanya vibarua vya kupanga na...
Wakuu salam sana,
Acha niende kwa mada husika, leo toka asbh mama kijacho kanisumbua sana niletee pizza baby please nakuomba sana naham nayo nakuomba sana, kila muda txt inaingia anakaziaa nisije...
Kama Mwanamke Anadharau Mishe Zako, Achana Naye..
Kama Mwanamke Ana Heshimu Mishe Zako, Kuwa Na Mahusiano Naye..
Kama Mwanamke Anakusaidia Katika Mishe Zako, Muoe..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.