Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

I guess nilikuwa na data na mwehu Baada ya kutokuonana mwaka jana alikuja location niliyopo then akaomba tuonane tukaonana Kwenye mazungumzo alitumia muda mwingi kusema kuwa kwamba saivi AMEKUWA...
3 Reactions
4 Replies
354 Views
Egypt Hotel Sued For Girl Pregnant from Pool A Polish mother, unwilling to believe her 13-year-old daughter could have had sex whilst on holiday in Egypt, is suing a hotel for stray sperm in...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa, kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Kiukweli ningefanya maamuzi ya kukurupuka, huwenda kwa sasa ningekua na adui moyoni ambaye kala vya kwangu na kukimbia...
2 Reactions
10 Replies
947 Views
Kuna watu wakuepukwa na moja wapo ni wale ambao kila kwenye kosa wao wanatafuta kuonekana si wahusika hata kama ni wahusika. MADHARA YA UKARIBU NAO NI HAYA: 1.Watakubambikizia makosa yao kila...
2 Reactions
5 Replies
369 Views
Mimi nakumbuka mpenzi wangu ambaye nilimpenda sanaa..nilijua ndo tutafunga ping za maisha..siku nikawa nimepanga nisafiri kesho yake asubuhi sana , nikaenda kwao kumuaga,..bahati mbaya asubuhi ile...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu getho limeshatimia kama linavyoonekana hapa. Yani amekosekana mrembo tu kwa sasa. Naomba baraka zenu wakuu nifanikishe jambo langu hili.
12 Reactions
116 Replies
4K Views
Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
62 Reactions
167 Replies
8K Views
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila...
22 Reactions
109 Replies
3K Views
Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁 Ndani ya kipindi kifupi nimedate na...
8 Reactions
76 Replies
2K Views
Siku hizi kuwa na pesa sio kigezo cha kumfanya mwanamke wako au mke wako atulie kwenye ndoa au mahusiano yenu. Hili limethibitishwa na alichokifanya yule afisa wa Equatorial Guinea ambae...
2 Reactions
3 Replies
460 Views
MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU! Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu...
5 Reactions
82 Replies
6K Views
Kipindi nipo form three kulikuwa na mdada tunasoma darasa moja lakini yeye alikuwa bweni mimi kutwa. Alikuwa akiniomba zawadi namletea kama rafiki. Lakini cha kushangaza nikwamba alikuwa...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
SIFA ZA MWANAUME BORA WA KUKUOA, KUWA MUMEO NI HIZI HAPA! 2025 FANYA KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanawake wengi hulalamika kutokujua ni mwanaume gani anasifa za kumwoa. Wengi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari yenu wakuu, Haya mambo ya mapenzi yana uwanja mkubwa sana. Na kila mtu ana mapito yake kwenye hili swala. Kufika kileleni kwa mwanamke imegundulika sio wote wanafika kileleni, niwachache...
14 Reactions
113 Replies
28K Views
🤣🤣 kwanza nicheke kiasi. Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe? Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma...
15 Reactions
74 Replies
5K Views
Wakuu hivi mwanamke anakua danger days kwa sku ngap maan nimeambiwa atakua danger days had January. Je sipigwi kwel hapa?
12 Reactions
45 Replies
1K Views
Back
Top Bottom