Hapa Sina maelezo mengi
Usikariri vikuku, blichi, kipindi puani, tattoo, pia ogopa pisi ya simu mbili yaani tambo na kiswaswadu
Kama ana tambo na kiswaswadu basi we jua tambo halina magendo...
Katika enzi hizi za usawa wa kijinsia, ni muhimu kuchunguza kwa kina mabadiliko yanayohitajika katika uhusiano wa kimapenzi. Ni muhimu kuzingatia kwamba uhusiano wenye afya unajengwa juu ya msingi...
Nilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja...
Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.
Kila akipata mwanaume hafiki nae...
Nifanye Nini Nataka Kumuoa Lakini Bado Anawasiliana Na X Wake?
Ntamani kujua zaidi hasa kusikia kwa wanawake, mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye...
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school...
Leo nimemsikia wife akiongea na boss wake namna alivyokuwa anamjibu kwa heshima may be hapa nyumbani pangekuwa hata robo tu ya anavyoongea tungekuwa Bora Sana
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my...
Mkeo au mpenzi wako akikuambia muongee huwa unawaza nini? Najua hili ni swali linalochukiwa na wanaume walio wengi.
Tuambie huwa unawaza nini?
Binafsi mimi huwa najua shida ni hii simu yangu...
Habari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha...
Mpenzi Valhalla,
Natumai unaelewa jinsi ulivyo wa thamani kubwa moyoni mwangu. Unapokuwa karibu nami, hisia zangu hutulia, na ulimwengu wote unaonekana kusimama. Ninakutamani kuwa wangu, si kwa...
Wakuu, Habarini?
Mimi ni mdau zaidi wa kusoma Nyuzi hapa JF kuliko kuandika Nyuzi.
Lakini leo nimeona na mimi warau nivunje Ukimya, nipate kushuhudia jinsi Forum hii imenifungulia mlango...
Wana MMU, heri ya mei mosi
Leo naomba nije na hoja hapa tuijadili sote kuhusu akina baba mie nawauliza hivi kwanini wanapenda kuwachumisha wengine dhambi? Yaani akina baba kuwachumisha watoto wao...
Jamani wana mmu
Naombeni ushauri wenu kwa binti huyu ambaye nampenda sana na yeye alikuwa ananipenda sana ila saiz tumegombana kama wiki moja hivi.Kisa aliambiwa na rafiki yake mimi nina mpenzi...
Maana kila anayetafuta kigezo kikubwa digrii
Sasa unajiuliza digrii ya nini hapo kwenye ndoa?
Halafu mtu tayali jua limezama (umri umeenda) unaweka vigezo viingiii vya nini?
Wewe mwenyewe...
Katika jamii nyingi, suala la mwanaume kuwa na wapenzi wengi limekuwa likijadiliwa kwa mitazamo tofauti. Wakati wengine wanaliita kuwa ni tabia mbaya, kuna ambao wanahisi kuwa ni njia ya mwanaume...
Habari mara nyingi Watu wengi wanajikuta wamezaa nje ya ndoa na mwenzie kuolewa Na mnamtoto tayari.
Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama.
Sasa njia gani unatumia kuwasiliana na mzazi wenzio...
Huyu binti anachangamoto kubwa sana ambayo ni yakushangaza.
Ukiwa unagegedana naye anapoanza tu kufika kileleni yaani ni lazima anye mavi ya kutosha tu. Utashangaa kusikia harufu ya kinyesi cha...
WANAWAKE WANAJUA NI MUDA GANI SAHIHI WA KUMSHINDA MWANAUME.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mwanamke yeyote anayejifanya mjuaji kikawaida huwa na akili ndogo. Ni wengi huishia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.