kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu.
Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama...
Nyieee
Wanaume viumbe rahisi sana
Alafu wanaume wanatoa sana hela
Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana
Ushauri:
Wanawake wote na wadada, mlioolewa...
Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha dunia
Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi...
WANAUME KWELI WAMEWAZIDI MBALI MNO WANAWAKE KWENYE KUCHANGAMANA
1. WANAUME ni rahisi kupiga stori kama watu wanaofahamiana muda mrefu utajua kuwa hawafahamiani kwenye kuitana majina utasikia...
Hapa nilipo nimechanganyikiwa baada ya kuambiwa na mtu ambaye nlitokea kumpenda kupita kiasi kuwa ni muathirika wa VVU.Nilikutana nae sku chache zlizopita,ni msichana mrembo kupita kiasi...
Wakuu nilibahatika kupata binti flani mrembo akiwa field ya nursing wakati mzee wangu alipolazwa katika hospital flan. Umri Wangu ni wa wastani, bado mbich. Alinikubali na ananipenda sana.Tatizo...
Ushauri Kama kuna mwana j.f naye kapitia hili janga maana kuna rafiki angu ana hilo gundu muda sasa kaniomba ushauri hajui afanyaje wakati mimi kila siku napata wapya
Salaam sana
" Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani...
Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake
Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀...
WANAWAKE WEMBAMBA WALIO WENGI
ASILIMIA kubwa ya wanawake wembamba wakiwa kwenye HASIRA ni wababe balaa😀
Wanawake wembamba wengi ni O na lishawahi kusema kuhusu watu hawa kuwa ni wababe😀
MISIMAMO...
Ewe mwanamke
wewe msichana
wewe binti
Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni
1. sehemu zako za siri
2. utu wako
3. saikolojia yako juu ya wanaume
4. afya ya akili yako...
Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni rangi yake sasa kijanijeshi, kaniki, jano😎
Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki...
JINSI YA KUMFIKISHA MKEO MSHINDO WAKATI WA TENDO LA NDOA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwanamke ni kiumbe anayehitaji Sanaa yàani ufundi ili uweze kuishi naye Kwa Amani. Tunapozungumzia Sanaa...
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni...
Nahitaji msichana wa kuwa na mahusiano nae ila sijui pa kuanzia. Sio kwamba sijui kutongoza ila naogopa kukataliwa. Muda mwingi wa maisha yangu nimeutumia kwenye masomo sana sasa baada ya kumaliza...
Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja.
Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025.
Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk...
1. Awe na pesa nyingi
2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura
3. Ajenge ukweni
4.Awe mpole
5.Asimuonee wivu mke
wake
6.Awe mwenye upendo
wa dhati
7.Asishike simu ya
mke wake.
8.Akimkuta na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.