Tuachane na shughuli kitandani tuongelee makazi (Geto)
Kuna kadada kamoja nilidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hivi halafu huna hata mke"
Tupeane maujanja ni vitu...
Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu.
Kaa na msimamo...
Nasemaje Nasemaje!
1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi
2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana
3. Mwanaume kama unastruggle...
Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu
Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya?
Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised
Sijui mtaishia vipi watoto...
Bila shaka mko poa
Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi.
Nimewahi kua na...
Hili jambo Huwa linanishangaza
Sijui Huwa ni pepo au vipi
Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa
Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari...
Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako
Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za...
Wanawake wengi huchukulia huruma ya wanaume kama udhaifu, wengi wanaume wamefilisiki kufa kushindwa maisha kwa huruma wakijinga nina marafiki wengi wanajutia maamuzi yao walio fanya kwa kuongozwa...
1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji...
Naomba kufundishwa jinsi ya kuandika barua ya posa.
Je ni vitu gani muhimu vya kuzingatia?
Ni mfumo gani wa barua ya kuandika, ya urafiki au kikazi? Je waweza tuma email kama barua ya posa au...
Mbwa mzee kujifunza mbinu mpya hili nalo tatizo tena tatizo kubwa.
Huwa naona real men The Boss akiwa among wanasema mwanaume anahitaji mambo matatu: food, sex and space.
Katika hayo mambo...
I hope mko poa guys
Naitaji ushauri hapa serious kabisa
Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja
Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi...
Wanajamvi habari za muda huu.
Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe...
Kwa wadogo zangu:
Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi...
𝗠𝘁𝗼𝘁𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘇𝗮𝗹𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝘁𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲
Kwa mara ya kwanza Dunia imepokea tukio la ajabu baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa pasipo mwanamke, mtoto huyo amezaliwa...
Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅
Yes!
Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye...
Demu akija gheto akapoteza heleni utaitafuta wiki mbili bila kuipata ila sasa demu wako mwingine akija eti anaikuta chini ya mto na ugomvi unaanzia hapo 😒😂
Salaam wakuu
Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa.
Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili...
Miaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.