Ni mwezi sasa tokea nilipoanza kazi hii kama msaidizi wa boss. Wiki ya pili tokea kuanza mafunzo, nilijikuta taratibu naanza kukamatilia toboleo kwa ajili ya kudril ngozi za binadamu. Boss wangu...
Nianze na Wanaume:
Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua...
Mambo vip!
Nina swali kwenu wanawake mwanaume wako au mumeo akitaka kuoa mke wa pili yaani kuongeza mke wa pili na wewe ukiwepo hana nia ya kukuacha je utalipokeaje ilo jambo au utalitafsiri...
Naam hujakosea, nitaeleza kwa ufupi kwakua mimi sio muandishi sana.
Miaka kama miwili nyuma wakati nasoma chuo mwaka wa mwisho nilizama penzini na mtoto aitwae A... Fa (aged 19 - 21) alikua...
Siwazungumzii wale wanaoongeza mke na kutelekeza familia za mwanzo, kundi hili kuna mstari mwembamba unaowatofautisha na wazinzi wanaoingia kwenye ndoa kwa tamaa za kimwili.
Kataa kubali uhalisia...
Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8...
Niliharibikiwa na gari tokea mchana Kijiji kimoja karibu na Makambako huku Nyanda za juu Kusini.
Sasa ndugu zangu, eneo nililopata hiyo breakdown lipo Duka kubwa na mara ya kwanza nilipoenda...
Moja kati ya maamuzi ya kipuuzi ambayo utayafanya baada ya kuachana na mwanaume, halafu huyo mwanaume akaenda kuoa mwanamke mwingine ni kutaka kumkomoa huyo mwanamke aliyeolewa. Inawezekana...
Being Emotional and Cultural Stereotypes as well as the need to Conform...., being hit-on from the time they reach puberty (hivyo kuitaji kuwakataa matapeli na kuepuka matamanio).....,
Ingawa...
Ukienda club mdada anajua kucheza piano anaringa kama mwenye degree ya MD
Ukimuongelesha mashangazi nawakumbusha Kuna walikuwa wanaringa na style za VIDUKU
Wanajamvi
Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani.
Hii imekaaje?Ni sahihi kweli?
Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya...
Hamjambo ndugu Watanzania
Siku Tano nyuma nilienda pale shekilango kukata tiketi ya kwenda mbeya. Nimejisogeza mbaka ofisi za bus la Sauli nimeona wamefunga maana nisha zoea kupanda Sauli nikaamua...
WANAWAKE, kila unapohisi na kutaka mwanaume akupe pesa au akununulie kitu lakini hana uwezo wala fedha , na ukashawishika kusema MWANAUME AMEFULIA au ANAUMI-MI, Jipige kifua chako na ujiambie...
Hellow people
Kwenu wanaume na kwa wanawake wanaojua
Nahitaji kujua,ukifanya mapenzi na mwanaume akamwaga bao la kwanza akaunga bao la pili na la tatu non stop zaidi ya dakika 40 (bila kuchomoa...
Wakuu salam
Sasa hii issue imekua very seriously..
Nachoka sana. Najaribu kumwelekeza huyu mwenzangu kuhusu pombe but still ignore me.
Ipo hivi tangu nianze mahusiano na huyu antiel D amekua mtu...
USIKUBALI KILA MTU AKUFUTE MACHOZI WENGINE WANA LESO ZENYE PILI PILIPILI
Kilio chako kikisikika na kila mtu tegemea kutonyamanza kwa sababu kuna watu watatumia kama fursa ya kukuliza zaidi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.