Baada ya kukumbuka lile tukio la kufukuzwa, japo sio ishu saaana nimeona niwasimulie na huyu mwamba sasa alietunyoosha mimi na dada angu na huu ndio ukawa mwisho wa outing. Yaani outing zikawa za...
Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni...
Mwaka umekuwa na mambo mengi sana, tupunguze stress kidogo.....Ulishawahi kupata aibu hii?
Miaka ya nyuma kidogo nikiwa bado mwanafunzi form 4 nadhani kuna jibaba enzi hizo buzi, likanipa mistari...
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia...
Unakumbuka enzi zile unaitwa girl friend, fiancee na majina kedekede matamu matamu? Unakumbuka sex life ilivokua amazing, purukushani kitanda kinakoma raha twenty four seven, ukiguswa tu dawasco...
Good morning.....
kapita kaka muuza nguo kavuta kiti kakaa tukaanza kuchagua viwalo, kama kawaida kijiwe huwa hakikauki story, story zikaanza fursa za biashara tukapewa darasa, tukahamia kwenye...
Kichwa cha habari chajieleza,
Kuhongwa rep power sio tiketi ya kuombea na bia, kama mna kiu na bia mtafute hela zenu, muombe kwa wazazi au wame zenu. Mambo ya kuomba hela ya bia kwa shemeji yenu...
Wajanja wa mji hoyee,
Nadhani kila mmoja wenu yupo sawa na mambo yake, .
Mnamo 2019 nilianza kutafuta mwenzi wa maisha yangu waswahili wanasema huba la moyo .
Nilipata mwanaume sio single ila...
We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa.
Kuna sisi, wazee wa love on the first sight , yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa...
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love
Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye...
Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia.
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana.
Kama ilivyo kwa...
Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu!
Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo!
Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.