Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito,
1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua...
Kwa kutumia data za mashirika mbalimbali yanayofanya utafiti kuhusu maambukizi ya magonjwa yanayotokana na zinaa kama Ukimwi, kaswende, kisonono na mengine (assumption: kundi lililoathirika zaidi...
Wakuu habari za jioni.
Mtaani kuna msemo usemwao 'kibamia'. Mara nyingi huwa najiuliza ili mwanaume uwe na kibamia, urefu wa mtalimbo wako unatakiwa uwe na inchi ngapi?
Na ambao sio kibamia...
Usimtukane mamba wakati bado hujavuka mto!
Niwe tu mkweli huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi ila kwa faida ya wanawake wenzangu ngoja leo nisimulie kakisa haka kafupi kaukweli...
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika...
Nilidhani kuna wanaume baadhi ambao sio wanene hawana vibamia.Kumbe bwana ukiona mwanaume analikitambi mpaka linamshinda ujue kibamia anacho. Nimekutana na bwana mmoja hivi ni mtu na mihela yake...
Mambo vipi, wanasema kuuliza sio ujinga. Huwa nasikia simulizi za kibamia, sasa leo nataka kujua hicho kibamia kinapimwaje yaani kuanzia inchi ngapi kushuka chini?
Narudia tena kuuliza...
Ulee mke
Ulee familia
Utunze akiba
Watoto wasome medium
Etc
Bado tena mchepuko unaubeba kama mayai. Yani unaweza kuta kiatu ulichomnunulia malaya ni mara tatu ya bei ulichomnunulia mama yako mara...
Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao
Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye...
MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha japo kwa matendo kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu.
Hatua hii ndiyo yenye changamoto...
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama...
Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz.
Looooh....Najutraaa
Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating...
Mke wa zamani wagwiji wa soko toka Brazil KAKA amefichua kuwa aliachana na supastaa huyo kwa sababu alikuwa "mkamilifu sana".
Nyota huyo wa zamani wa Brazil na Real Madrid alifunga ndoa na...
Kwenye mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake like everyday ile kumjulia hali na siku yake imeendaje?
Au inatakiwa iwe effort iwe inaendana...
MWANANGU
Ukioa jambo la kwanza ili uheshimike kama mwanaume inatakiwa kwanza watu wamheshimu mkeo.
Kama mkeo haheshimiki hapo mtaani kwako, basically wewe ni kitu cha kutupwa.
Tena inawezekana...
Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi. Alikaa kimya kwa muda...
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au
Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.