Kama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia.
Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina...
Habarini wakuu,
Miaka kama 10 hivi iliyopita tulikuwa tunacheza mechi ya kuagana wanaohitimu na wanaobaki, basi kuna msichana nilikua nampenda na siku hiyo ilikuwa nii lazima nijitahidi kuonana...
Kuna mkaka alioa mwanamke miaka kadhaa iliyopita,na katika maisha yao ya ndoa walibahatika kuzaa watoto wawili,wa kike na kiume,wakiwa wanaishi Dar kipindi hicho
Bahati mbaya ndoa...
Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.
Juzi...
Wengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi.
Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro...
Ni mpaka uishi hayo maisha ndio unaweza kupata hisia halisi za hii mada.
Hapa nazungumzia wale wazazi kwa sababu zozote zile waliwatelekeza watoto wao udogoni na kuja kuonana nao ukubwani.
Hapa...
Kila mmoja hupata changamoto kwenye mahusiano yake na hakuna mtu ambaye amedumu kwenye mahusiano bila migogoro ya hapa na pale.
Unatakiwa utambue kwamba mahusiano ya binadamu hasa jinsia tofauti...
ULIMWENGU wa sasa umejaa sanaa. Watu wameingiza sanaa kwenye kila eneo. Sanaa ipo hadi kwenye masuala ya uhusiano. Mtu anamfuata binti, anaingia na gia kabisa za kuoa kumbe siyo muoaji. Anakuwa na...
Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu.
Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata...
Habarini ndugu
Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia...
Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32...
(1) Anawasiliana, anatamani na kuongea kimahaba na wanawake wengine mbele yako. Wala hajali upo, hajali kuwa anakuumiza, hajali kama unahisia, atawasiliana na wanawake wengine, ataongea nao na...
Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha.
Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona...
Nipo mkoa wa huku kusini kwenye harakati zangu za utafutaji,nikaingia mtaa mmoja wa nyama choma; ile harufu ya nyama ikaufadhaisha mwili wangu, kuangalia mfukoni nina elfu tano tu, na kwenye simu...
Kwa miaka kadhaa tumekuwa tukiona wanandoa wanakosana na hatimaye wanatengana, yaani ndoa inavunjika. Kwa sababu ni mazoea ya enzi na enzi, hakuna anayeshangaa kuona watu wliopendana wanafikia...
Back in d' dayz!
Nilikua na mtoto mzuri, kitu black beauty mwenye asili ya mbeya, kiufupi ni kwamba nilimsaidia sana, nilikua naplay part kama mzazi wake, ada ya chuo, mahitaji yote, na...
Wakuu nataka nijitose nikamuoe mtoto wa mwenyekiti pale machame ila hofu yangu kubwa je mimi kapuku inawezekana? Mimi mtumishi wa tamisemi kweli ninaza kwenda kumuoa yule mtoto? Na hiyo ndiyo...
Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila...
Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu...
Habari wana JF,
Hii ilitokea wakati tukiwa chuoni wakati dada akiwa First year alikuwa na mchumba wake (mtanashati) ambaye alikuwa ndiyo kamaliza chuo na kupata kazi Dsm kwa hiyo alikuwa na fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.