Kama mnavyojua mwisho wa mwaka huu mambo ni mengi sn sasa jn baada ya kutoka kwenye event fulani hapa mjini huku nikiwa nimepiga mtungi wa kutosha, nikiwa njiani narudi home nikakutana na pisi...
Kwanz kutanguliza salam kwa kila mwana JF mwenzetu alie humu.
Sasa ndugu wana jukwaa kaka yenu, mdogo wenu au rafiki yenu nina jambo langu ambalo limenisukuma mimi kuja hapa kuomba msaada na...
Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga.
Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na...
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.
Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass...
Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men.
Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi.
Watoto wakiume wamekuwa...
Kaka magical power hodi ,Leo nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina...
Wadau, swali la iwapo mapenzi ya kweli bado yapo limekuwa likizungumziwa sana. Ni suala la muda tu kumpata mtu anayekufaa. Kwa mfano, kuna binti mmoja ambaye amenionyesha upendo wa dhati kiasi cha...
Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona...
Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe
Kuna wale mababa ambao huwaita...
Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili
Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu...
Muda mfupi uliopita nimeona status ya mpenzi wangu ikisoma hivyo akili imepagawa kwa sababu mimi na yeye hatuko sawa kiasi cha yeye kwenda kupost hivyo.. hii ni kiashiria kwamba kuna mtu...
Nawapa mbinu ya kimafya,
Hii mbinu sitarudia tena kuitoa
Ukipuuza usije unalia January
Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu
Kipindi hiki ndo utalipa nauli za...
Kwema Wakuu!
Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo.
Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa...
Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya...
Eejamaa eh wazima wote, hebu tufahamishane tabia za wanawake wa kinyamwezi ni zipi kwa sisi tusiojua tabia zao ili tusije kuingia mkenge kwa kumuoa mwanamke wa kinyamwezi.
• Wavumilivu sana...
Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu...
Mwamba kapita mle mle.
Hii ni ya mwisho sitawaambia tena
🙌🙌😋😋
Kuna kipindi Dada angu alijifungua kwa operation kwenye hospital moja kubwa apa mjini nikawa nimeenda asubuhi moja kumuona
Wakati natoka wodini napita reception nikakutana na Dada mmoja age kama...
Sijui kwa wengine ila kwa kweli mwanaume yoyote awe ndugu yangu au rafiki WA kiume ambae Hana maamuzi yoyote Hadi kitu kifike kwa mkewe ndo akaamue yaani huwa wananikera.sisemi ni vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.