Kaeni mkijuaa wazazi hatuachani huwa tunatengana tuuu na tukipata nafasi tunaitumiaa vyema siwakatizi kuoa singles ila kaaeni mtambuee hilo tulio zaa hatuachani tunatengana tyuuu
Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!".
Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!.
Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta...
Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa
Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa...
Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.
Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko...
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha...
Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:-
1. Anabandika kope, nyusi, kucha na...
Hakuna tofauti kati ya Single Mother na Single father, Ukiona mwanaume na mwanamke wameachana tayari wakiwa wameshazaa kama mwanaume unaogopa huyo mwanamke ambae ni Single Mother basi na wanawake...
Hii ina maana gani kuporomosha matusi mazito mazito wakati wa kufanya tendo la ndoa tena na mtu wa ibada kabisa na mwenye heshima anaeheshimika kwenye jamii?
kwani hakuna maneno mengine hadi...
Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya.
Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani?
Kwa upande wangu mwanamke muongo...
Wanawake wanapigana vita vingi. Kutafuta mume ni vita, ukimpata mume bado shida zinabaki palepale, mume hatulii, akipata visenti vyote anamaliza nje na wanawake wa kila aina. Pesa zinapotea, afya...
Habarini,
Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi.
Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata...
Nawasilimu wana JF
Kwakweli tangu niliposhuhudia dem anaomba hela kwa boy wake anapewa halafu na yeye anaenda kumtoa lunch boy wake, basi niliumia sana.
Njia pekee ya kuniach ni simple, niombe...
Natumai mu wazima wa afya,
Twende moja kwa moja kwenye maada kuu, kama watu wa kiroho wanavyotafsiri alama hii 11:11, kuhusu alama hiyo kwa upande wangu kila siku naiona kwenye mizunguko ya...
Huu ndo ukweli, mtoto anarithi akili za mama, mama akili ovyo kichwani tegemea na uzao wako utakuwa hovyo.
Mungu hakupi vyote, huwezi kukuta mwanamke mrembo akawa vizuri kichwani, ana uzuri...
I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and...
Kuna jambo la kushangaza kidogo.
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu katika biblia,kuna laana zilitamkwa na Mungu baada ya wazazi wetu kufanya dhambi.
Katika laana zilizotolewa,ni pamoja na ile kuwa...
Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel.
Mwanaume mwenzangu anza kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.