Ukiwa mezani unakula chakula chako,lakini akilini mwako na macho yakiwa yanatazama meza nyingine kamwe huwezi kusikia wala kufurahia ladha ya chakula kilichopo mezani kwako
Huo ni mtazamo tu...
Nilikosa cha kufanya na bundle ilikuwa imekatika kwa simu, nikapata idea ya kuhesabu pete za ndoa vituoni na kusema kweli inaonesha wanaume wengi sana wana pete vituoni kuliko wanawake, katika...
Wakuu kwema?
Kila nikilewa tu nataman wanawake! Najikuta mara nyingi najitubu UTI kali kila mara
Nadhan mnajua ukilewa mipira unasahau. Lengo la huu Uzi ni mwenye connection ya dawa ya kuacha...
Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga...
Mli bwanji?
Kuna manzi ukiachana na yule nurse nilowapa story yake, huyu manzi anafanya kazi kama manager restaurant flani kubwa hapa mjini.
Huyu manzi tumuite Kokugonza, baada ya kuzoea kupata...
Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza...
Yawezekana unakonda na kukosa raha huku ukifikiria hivi kweli fulani ndio kanifanyia hivi? Jibu ni ndio huyo ni yeye halisi na wala hawamzingizii bali huo ndio uhalisia wake.
Kosa lipo kwako...
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua...
Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25
Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata...
Samahani
Nimekuwa buzy naona kama napitwa
Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan?
Mbona kila mahali wanakataliwa?
Nini mbaya nyiee?
Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo...
Nimekumbushwa mbali
Nimeulizwa kama nakumbuka ulivyokuwa bikra ulikuwaje?
Eti na wewe ulivyokuwaga bikra ulikuwaje?
Je unamiss kurudi kuwa bikra au ukae hapo hapo?
Mdau: Money Penny kwanini unapendwa zaidi na wanaume kuliko wanawake huku Jamii Forums?!
Wanao comment kwenye nyuzi zako wengi NI wanaume!
Wanaokusapoti JF wengi ni wanaume?!
Money Penny...
Habari za mida hii,bila shaka mko salama,wengi mmelala na wachache mko macho.
Ili kuwapa moyo,kuwafundisha wengine pia,nimeamua nitoe yaliyonikuta,najua wapo wanaopitia nyakati kama...
Baada ya kuona taarifa ya kamanda Muliro iliyolenga kutukamata sisi wateja wa madada poa na sio wao makahaba imeniuma sana. Sijashangaa sana kukamatwa sisi maana ni mwendelezo wa kile ambacho...
Raha ya ndoa, mume na mke kulala pamoja na kuamka pamoja! Hii ya mwanaume kuwa dodoma mwanamke yupo mwanza hiyo sio ndoa na sio tafsiri ya ndoa kimaandiko, maana lengo la watu hawa kuoana ni kuwa...
Right now things seem not to be working.Everyday am living with regrets of my past mistakes and blaming myself for everything I have done bad to myself.
Other times I find myself blaming my mum...
Habari za jioni.
Direct kwenye mada.Mke wangu dhahiri kabisa namuona anazidiwa na kazi za ndani huku akiwa na mtoto mmoja.
Nikapata wazo nimtafutie msaidizi wa ndani ili kumpunguzia kazi uwezo...
Hello habari,
Natumai upo salama. Mm Mimi ni kijana wa miaka 26 now naelekea 27, na kutokana na ratiba zangu, ni wazi kuwa ratiba inayofuata ni ndoa.
Nimebakiwa na mzazi wa kiume. Kwa hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.