Hivi kuna watu humu wapo kama mimi? Mimi bhana katika maisha yangu sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu eti niseme huyu nilicheza nae, nilisoma nae shule ya msingi au secondary alaf mpaka sasa...
ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni.
Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au...
Ivi ushawahi kujiuliza kwanini
1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume?
Namaanisha
A. Mzuri wa umbo
B. Mzuri wa kili
C. Mzuri wa utafutaji
D. Mzuri wa Dini
E. Mzuri wa Tabia na maadili
Yani...
Kama mwanamume nilijisikia vibaya ila kwa lile Traako no ilikuwa lazima nichape
Kuna demu alipata kazi za muda mkoa ninaofanya kazi sasa kuna siku natoka kazini nikapitia hapo ofisi yao uwa...
Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA
👇
Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako.
But real women 🚺 hakatai...
Habari Wakubwa,
Naona kuna. Tukio sio la kawaida naanza kuona vijana tunaanza kuwaogopa Wanawake sijui kaka zetu walifanikiwa vipi.
Tena hawa kataa ndoa. Ndio wanatuharibu kabisa kisaikolojia...
Wakuu
Mmesikia kuwa Wanawake wenye kipato kizuri wamekuwa chanzo cha migogoro ya ndoa, kwani wanakosa heshima kwa wenza wao na hata kushindwa kushiriki tendo la ndoa.
===
Jukwaa la wanaharakati...
Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa,
Mwanamke akikupenda:
Hakosi hela ya nauli
Hakosi hela ya saloni
Hakosi bando
Simu haiwezi kuisha chaji
Hawezi kuwa busy
Tatizo la...
Ewe Binti ,mdada na wanawake wengine wenye tabia za kutembea na waume za watu soma hapa chini Kwa umakini
📌. Kujiwekea uadui na watu wanaochukia wanawake wenye tabia hizo.
📌. Kutumika kama...
Itunze ndoa yako..
Omba msamaha ukikosa
Sema asante kwa kile utakachopewa kiwe kikubwa au kidogo.
Jali mahitaji ya mwenza wako, ya mwili na roho..
Kila mara mkumbuke hata akiwa bize, piga...
Wanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni...
Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa...
Wakuu
Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo...
Wakuu,niko katka mtihan mkubwa mno, mi hua siwapi mademu zangu ndinga hata siku moja na kwanza ni mara chache nimemskia demu anaomba ndinga kwangu,
Sasa nina huyu demu ambae namla mla ofcoz.sio...
Kwema wana JF nawasalimia wote!
Niende moja Kwa moja kwenye mada, huu uzi nimeamua kuuleta ili kuwaonyesha ni jinsi gani mapenz ya urozi yalivyotaka kunisababishia uchizi au kuniondoa uhai...
Mwenye jukumu la kuwajibika ni mwanamke mwenyewe, utayari wa kimwili na kiakili wa mwanamke mwenyewe ndio utamuwezesha kuridhika na tendo.
Mwanamke hana hisia na anaefanya nae sex (kajiegesha tu...
Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.