USILAZIMISHE AWE NDIO YULE UNAYEMTAFUTA, UTATESEKA SANA
Mambo ya kulazimishana kwenye mahusiano/urafiki limekuwa janga kubwa la Dunia na wengi wanaoingia kwenye huu mtego hujikuta matesoni...
Umekua kama tui la nazi kwenye penzi hili!, utamu wako ni kama hewa laini inayopuliza wakati wajoto.
Nikianza na ngozi yako nitamaliza na umaridadi wako!, unaponivutia zaidi ni pale unaposema...
Siwasemi vibaya dada zangu wa kichaga, mnasifika kote kwa uwezo wenu wa kusaka mahela.
changamoto ninayoiona kwa manka walio wengi, uchumi ukichangamka mnakuwa jeuri na kiburi sana. Haijalishi...
Katika zama hizi ukiwa na kipato cha kukuwezesha kulala pazuri, kuvaa vizuri, kula vizuri na kunywa kwa mwezi, halafu upo singo ni vema uishi peke yako tu. Utapata kila wanachokipata watu walioko...
Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo.
Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo...
SIFA ZA 'BAD GUYS' ZINAZOWAFANYA WAPENDWE NA WANAWAKE. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa Bad Guys)
Ingawa "bad guys" wana sifa nyingi mbaya, bado wanaweza kuwa na mvuto kwa wanawake kwa sababu...
Ukiachilia mbali mwanamke kutakiwa kuingiliwa kingono siku za mimba!
Wanaume tumeumbwa kwa mfumo uleule wa wanyama na ndege!
Kikawaida mwanaume unatakiwa ukisimamisha ndipo utafte wa kumla, na...
Habari,
Naomba kuuliza asee hivi ni jinsi Gani watu hufanya hadi wanakuwa na marafiki wazungu ambao hadi huwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mambo, kama kutumia zawadi mbalimbali.
Inatakiwa...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa...
Ambitious men and womens, hutake full control and outhority over electronic gadgets, mathalani smartphones, tablets, computers etc.
Focus, commitments and full concentrations ni kwenye activity...
Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.
Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo...
Ni baada ya jana kugombana kidogo na mpenzi wake siku nzima anakatiwa simu mara akipiga anakuta inatumika ila akipiga yeye simu haishikwi
Anaomba ushauri mzuri Cha kufanya
Mwaka 2006 nlitembelea tabora kwa mara ya kwanza nikiwa nmepangiwa kituo changu cha kaz. Nlifikia lodge flan mitaa ya town kwa siku kama tano nlikuwa nalala pale. Nakumbuka ilikuwa ni majira ya...
Chekechea - miaka 2
Msingi - miaka 7
Olevel - miaka 4
Form 5 / Dip - miaka 2
Degree - Miaka 4
kujitolea kupata ujuzi - miaka 3
Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au...
Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali.
Hapa naweka dalili za wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.