Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka...
Kusema ukweli ni viumbe tu wa kawaida kabisa, yaani in soul anaongea na wewe na mtakaa vizuri tu.
Ukichepuka analia kule.
Then ndio unaanza kuona mabalaa. Machozi yake ni Lulu.
Siku ukikutana na...
Mwanamke hawezi kuonyesha upole, huruma, kujali, kunyenyekea, uvumilivu kwa mwanaume endapo mwanaume atakuwa siyo MUADILIFU.
Hivi sasa kuna ongezeko la wanawake ambao wamejiandaa kupambana na...
Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia...
Kwakweli kama mzazi naumia na nakosa raha sana
Ni vijana wangu, huyu mdogo hana kabisa heshima kwa kaka yake, nimepoteza hela nyingi kumgharamia ila amevuruga kila kitu
Na mama yake hakiwa...
WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa...
Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao....
chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,,
Tizameni...
Mpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye...
Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume
Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.
Na wote tuseme JF idumu milele.
Ndugu zangu ujio wa app...
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi Waluguru eti kisa kimo/height yetu kwa taarifa...
Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka
Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu...
KUMKOSOA SANA NI DALILI KUWA HUYO SIO WAKO BALI UNAMLAZIMISHA AFANANE NA UMTAKAYE.
Karibu kila mtu ana taswira ya nani anamtafuta kama mwenzi/rafiki hivyo siku ukikutana naye utamtambua kuwa...
S/N
MASWALI
MAJIBU
1
Mtoto wa umri gani analazimika kisheria kubaki na mama pale wazazi wanapotengana au kuachana?
Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 iliyofanyiwa marekebisho Mwaka...
Nawasalimu nyote. Natumai mu wazima. Karibuni kwenye kikao cha familia tuimarishe mahusiano yetu.
Kwanza nianze kwa kusema, kwenye maisha yangu mimi binafsi, nimekuwa nikijifunza katika kila...
Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka.
Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe...
Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli
Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki
Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango.
Mimi sio mwenyeji wako umekuja...
Eeh katika harakati
Za kidachu. Bhana nikakutana na mtoto mmoja black shape fulani ya kwenda nikaomba Namba mzee mali ikaita lakini pale pale nikamuuliza kama kaolewa akasema ndio 🥲nikasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.