Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti.
Hiko hivi kuna huyo Kijana...
Older mnaokimbiliaa ndoa
Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake
Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima
Ni yule aliye na hofu na Mungu
Haya makanjanjaaa...
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama...
Wakuu,
Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani?
Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya...
Kumwaga mbegu kabla ya wakati (Prеmаturе ejaculation) ndio dalili kikuu ya upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. Ni hali ya mwanaume kushindwa kuchelewesha msimamo wa tendo la ndoa ili...
Wakuu
Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani.
Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili.
Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau...
Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku.
Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku.
Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa...
Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema
Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe...
Mimi ni introvert nisiyejichanganya sana na watu,huwa siendi club wala sehemu zingine za starehe muda wangu mwingi huwa natumia kuongeza knowledge sababu kazi yangu inahitaji creativity ya hali ya...
Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.
Khaa!! Yaani...
Vijana wa mujini, wenyewe wanaita msingi kiuno, yaani unapata mwanamke mtu mzima kakuzimikia anaamua kukuchukua mkaishi wote kwake huku anagharamia bill zote ikiwemo kodi, umeme, maji, gharama za...
Wakuu
Tukio la kushangaza kutoka Kenya limekuwa gumzo mitandaoni baada ya video ya CCTV kuonyesha mwanamume akifanya kitendo cha aibu ndani ya duka huku akimwangalia mwanamke aliyekuwa dukani...
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,
Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari...
Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na...
Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala,
Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote
👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye...
Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF.
Hata hivyo kumekuwa na wimbi ka vijana wadogo kuingilia kati na kuchangia kwa hoja yao moja tu; Hapo huna Ndoa au Muache mke/mume. Hii...
Yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu.
Mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita.
Narudi home baada ya kutoka masomoni namkuta ana mimba ya miezi kama miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.