Kuna mambo mengine tuna ya puuzia ila la kuzaa watoto wako wote kwa mke moja ni hatari kuliko hatari zingine za kifamilia tukistaafu.
Kwa 70% watoto tunao zaa kuchukua gins nyingi upande wa mama...
Ni miaka 6 imebakia kufika mwaka 2030 ambapo kwa hali ya sasa ya wanawake na tabia na mienendo yao then kuna uwezekano mkubwa wakaingia umri wa utu uzima a.k.a Ukuta wa babeli wakiwa hawana...
Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi
Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume
Huwa tunaomba...
Habari za muda huu wana Jf.
Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani[emoji35]. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi...
Mke wake alianza kubadilika tabia akanifuata na kuniomba ushauri,nikamuuliza kulikoni? akasema ni mara ya pili sasa mkewe anambwagia mtoto na kwenda misele isiyo na kichwa wala miguu,akimwambia...
Nimevurugwa sana..
Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.
Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake...
Igwee!
Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku...
Wana MMU
Salama wakuu!!
Kwenu nyie wanaume naomba mnisaidie why do you prefer bitches??
Nimekua nikiona wanaume wengi pamoja na kutambua dada fulani ni malaya lakini mmekuwa mkipigana vikumbo...
Habari ya jumatatu ya Pasaka!!!
Leo nimeamua nilete visa vyangu nilivokutana navyo katika maisha.
1. Nilipokuwa kidato Cha 5 mtaani kwetu kulikuwa na mkaka ananitania mchumba angu, mchumba...
Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi
1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake
2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji...
"Ndoa Ni pasua kichwa!"
Alisikika mwanaume mmoja akiwa amelewa chakari.
Ndio, Kuna kosa kubwa Sana wanaume tunafanya mwanzoni kabisa!
Kosa la kumshawishi mwanamke ili aingie ktk mahusiano ya...
Aslaam,
Wanawake emu eleweni kuwa mwanaume Huwa kwenye mahusiano na nyinyi Kwa sababu ya mambo mawili.
Jambo lakwanza ni Kwa ajili ya ngono(sex) lakini la pili ni Kwa ajili ya upendo.
Lakini...
katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii,
Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini...
Hili jina linatrend sana hapa jijini ni nilikuja jambo hili kugundua jambo hili ni kubwa baada ya kuona makamu wa rais naye kuwaonya wasipende mashangazi kwanini vijana wanapenda watu wazima...
Wanaume kamwe hawatongozi wanawake wenye status kubwa kuliko wao. Ndiyo maana huku kitaa wadada wakali sana huwa hawaolewi, ni kwasababu wanaogopwa na kila mwanaume.
Lkn hawa wenye sura kama wako...
Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.
Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei...
Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha
Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.