Habari wa JF members.
Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye...
1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi...
Ndugu zangu..
Kumekua na tabia mbaya ya watu kuhudhuria kwenye misiba kwa kubagua kutokana na itikadi zao na hali ya kiuchumi ya marehemu au familia na ukoo wa harehemu husika kama...
Ni wiki mbili sasa tangu bidada agundue mme wake anauhusiano wa kimapenz na rafiki yake wa miaka mingi...
Mdada alikua na rafiki yake tangu 2009 ambapo walikutana chuo wakawa marafiki wakaribu...
Najua ni vigumu sana kumsahau mtu ambaye ulishea nae maisha yako kwa kipindi fulani iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa,najua uliwekeza hisia zako na mawazo yako kwake,hivyo umekuwa na hisia kubwa juu...
Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh...
Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni.
Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema...
MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA
Na Comrade Ally Maftah
Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso...
Ughonile.,
Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa.
Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko...
Nipo na makasiriko pamoja na huzuni.. daah nyie wanaume mtakuja kutuua wanawake
Basi bwana nina huyo ex wangu king’ang’anizi yaani hataki kuachana na Mimi iwe jua ama mvua…
Kuna mwanamke...
Habari zenu ndugu zangu wana JF, hivi karibuni kumekua na matukio kadhaa ya watu kujiua kutokana na mikasa ya kimapenzi, hali iliyopelekea hata juzi kati baadhi ya askari polisi kujitoa roho kisa...
MWANAMKE ASIYE NA HESHIMA
: Mwanamke Yeyote Ambaye,amechagua kutokukusikiliza wewe,
Kama mumewe,huyo hafai kwenye maisha yako..KWANINI?
>>Kwanza anaamini yeye ni bora kuliko wewe...
Habari wakuu. Poleni na mihangaiko na majukumu ya kila siku.
Utoto hadi kufikia utu uzima kuna visa mbali mbali tunakutana navyo, ambavyo kwa namna moja ama nyingine ni changamoto katika ukuaji...
habari wana jamvi?
Marehemu hasemwi vibaya wala mauti yakija hayana taarifa na siku yako ikifika bas hakuna wa kuzuia nafkiri hiz kauli tuishi nazo tu katika kujipa moyo chanzo chochote cha...
Iki ivi kiukweli mm ninafsi siwezi oa singles mother nina sababu kama kumi hivii na zina mashiko
1. Huna uhuru na mtoto ukimpiga unamwonea
2. Mkigombana kidogo simu kwa x wake
3. Kuchapiwa...
MAN UP
: Kukua na kujitambua kiakili na kihekima kunaanzia pale,Ambapo
Wewe mwenyewe utakua umechoshwa na wingi wa upumbavu wako..😎😎😎😎
: Jitihada zinazotumika kukufanya uitwe mwanaume hodari,na...
Habari,
Ngoja nianzia mbali kidogo mpate kuelewa mke wangu ni mtu wa aina gani. Na ilikuwaje mpaka nikazaa nje.
Mimi na mke wangu tulikutana kwenye kongamano la injiri kipindi namaliza chuo yeye...
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.