Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,,
Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri...
Hili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.
Natolea Baadhi ya mifano
1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka...
Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti
Lkn haikutupa shida kwan...
Imagine uko na mwanamke kwenye mahusiano kwa miaka 4, umemkuta Ni jobless, umepambana umemtafutia kazi yenye mshahara kila mwisho wa mwezi anapokea na posho ya elfu 10 analipwa kila siku anayofika...
Habari wana jamvi!
Nataka tushee uzoefu kwasisi wanaume kuhusu 'experience' yetu ya kwanza kutoa wazungu ilikua katika mazingira gani na je iliku taharukisha kwa kiasi gani. Tofauti na wenzetu...
Habarini Wana Jamii forum.
Siku ya leo nimeona nijikite katika kutoa ya moyoni , kubwa zaidi ntaangazia kundi la watu ambao hujulikana kama introvert na mahusiano ambayo hujihusisha na namna...
Mambo zenu, naimani mko poa!
Naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi? Yaani nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake??
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha...
Jamn Wana JF habari za muda huu, mimi nina mpenzi Wangu yaani hataki kupokea simu, Wala kujibu sms, na nikienda kwake ananiambia mbona hujatoa taarifa , jamani shida itakuwa ni nini hebu nisaidieni
Habarini wana jamvi,
Nimeona hii niulize kwenu na nitatumia mfano mmoja ulionikuta.
Kwanza kabisa kipindi sijao, enzi hizo nina ubrothermen mwingi sana siku hizi nishazeeka japo under 40...
Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela...
Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane.
Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia.
Ni umri wa...
Tunajua mkiwa wenyewe mtakula vibandani sasa sisi wageni tukiwatembelewa inakuwaje? je mtatupeleka huko vibandani au mtatuagizia chipsi kwa mangi?
halafu mtu uyo gani anaogopa maji au dume hilo...
Kwanza kabisa msimamo wangu, kama huo ni upendo naukataaa.
Uko kazini, unaulizwa unarudi saa ngapi? Umefika wapi? Mbona umechelewa kurudi? Angalia muda lakini!! Nashindwa kulala sababu yako.
Uko...
Kuna tofauti kubwa ya kuwa peke yako (alone) na mpweke (lonely),lkn kwa bahati mbaya sana mtu ukiwa peke yako unaonekana eti upo mpweke.
Hakuna ubaya kuwa peke yako maadam tu unafurahia kampani...
Habarini,
Mainstream dating advice from media, na kutoka kwa baadhi ya wanawake na wanaume wanaotuzunguka inatuambia wanaume kuwa ukitaka upate mwanamke wa ndoto zako inatakiwa ufanye moja ya...
Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?
Ni kuringishia kwamba...
JUZI kati Niko site mwenge nafanya wiring juu ya ghorofa kwa mbali nikaona gari zuri mnooo bmw x7 imepaki akashuka mdada mzuri sana akaingiaaa duka moja Punde akatokea muokota makopo from no where...
Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.