Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia...
KWANINI UNAINGIA KATIKA NDOA?
NDOA: Ni makubaliano ya muingiliano utakaohusisha hisia,
Muingiliano utakao husisha miili ya watu wawili walioamua kuanzisha Familia ya Baba na Mama..
Kwa...
UCHAMBUZI wa KUSTAWISHA JAMII.
Baada ya kufanya tafiti, upembuzi na ulinganifu nikaja na jibu kwamba MWANAMKE ambae hajui Mapishi/Mapochopocho/ kukaangiza basi huyo Mwanamke hakufai kimbia.
Ndio...
SHHH NISIKILIZE
Ni kweli wewe ni rafiki yangu kama unavyosema, Pia ni kweli kabisa maneno unayoniambia ya jinsi ambavyo walikua wananizungumzia vibaya,wakati sikuepo.!
Ila kinachonipa ukakasi...
Mwanaume mmoja alikuwa anampenda sana mkewe. Walikuwa wamejaaliwa watoto watatu waliokuwa wachangamfu na walifurahia sana maisha.
Yule mwanaume alikuwa analipwa mshahara wa wastani ambao...
Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye...
"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"
Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani...
wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa
kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo
vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao...
Watoto wana vituko sana mda mwingine unaweza piga uue mfano huyu wangu aliondoka na rimoti mpaka shuleni tafuta limot tafuta haionekani kaja toka shule kakuta watu wanatafuta rimot ndio anasema...
Friendship meaning Communication/Sharing pasipo stori hakuna urafiki mtakuwa mnasomana tu, sijui hili jambo ni kwa wanawake wote au laa unajaribu kumfanya mpenzi wako kama rafiki yako.
Una-share...
Soma kwa makini sana,
Mtu ameshuhudiwa kumjua Mungu amekubali ameokoka na anawake wawili au watatu wote amewatolea mahari, kwao anatambulika na wake nao wamekubali kuokoka, wote wake zake na...
Wakuu poleni na majukumu ya kujenga nchi..
Nimekuja kwenu kama mwana Jamii Forums nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 10 na huu mtandao wetu pendwa unatusaidia kwenye mambo mbalimbali kwenye...
Habarini za Wakati huu Ndugu zangu wanajamvi letu pendwa. Ni siku nyingine tena na fursa nyingine ya kupambana iki kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Katika jamii zetu ambazo zimedumu toka enzi...
Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini.
Nakumbuka siku...
Huyu ni binti ambae nilianza kuwasiliana nae kama mwezi hivi umepita na sikutaka mambo ya kuonekana nina uchu kwa kumtongoza haraka haraka mana tulikutana kwenye event flani ndo tukapeana namba za...
Sina maana hiyo mmayofikiria nyie, nimelazimika kufanya hivyo ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi.
Bujibuji Simba Nyamaume Yas
GENTAMYCINE Yas
Chaliifrancisco Yas
Scars Yas
Greatest Of All...
Habari wanajukwaa.
Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni
Kama nilivyoandika hapo juu:
Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.