"Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi...
Aliyekuacha kwenye mahusiano kuna uwezekano mkubwa sababu siyo hiyo aliyokwambia bali ni ile aliyokuficha sema kapitia hiyo kama njia ya kufanikisha njama yake ya muda mrefu.
Ulisema tatizo huna...
Sijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili.
Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni...
Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi...
Inawezekana niamke asubuhi na kwenda Kariakoo ikiwa Sina ofisi yeyote hapo???? Udalali huwa unafanywaje jamani!
Kazi gani unaweza kuifanya pale Kariakoo kwaajili ya kukuingizia chochote kitu...
Wakuu habari.
Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba.
Usije shangaa mtoto wako mbona...
Hiv ni kwanini mwanamke umehamua kuishi nae wote mnafanya kazi
Lakini anakutegemea kila kitu ndani basi nimenunua mwanaume kila kitu ndani bado ni mtihani hata kama sabuni imeisha anaitaji utoe...
Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.
Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k.
Alinipea namba ila kwenye...
"Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili...
Haya ni maneno ya mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu nilimwomba anipe papuchi wikendi hii lakini alikataa maana sehemu yake ya Siri siyo safi hajanyoa mamvuzi siku nyingi na mme wake hayupo...
Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye...
Sura zetu ngumu, kutokua na Pesa , hakutakiwi kutupotezee Nafasi ya uchaguzi. Bad boys, Alpha Male
Leo natumia Uzi wa Joanah kama Marejeo wenye usemao Love at first sigh. Bidada Kwa kituo...
Ni miaka mingi imepita, nipo na kumbukizi nyingi, lakini hii naona inafaa kuingia top ten....nisiwachoshe sana twende kazi.
Nakumbuka ilikua jumamosi, mi sio mtu wa kutoka kabisa, week end ni...
Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa
Ya nini haya sasa jamani?
Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka...
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.
Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa...
MTU MBINAFSI MWENYE KUJIPENDA PEKEAKE(NARCISSIST)
Narcissist ni mtu ambaye ana tabia ya kujipenda kupita kiasi na kujiweka mbele ya wengine. Watu hawa mara nyingi wana mawazo ya juu kuhusu nafsi...
Kwema kwema wakuu...
Wakuu nimekuja tena maana hapa ndio hom sweet hom..
Sifanyi kitu hovyo bila maoni na ushauri wenu wakuu..
Sasa wakuu hii ishu ya kutoka na watu wazima sasa imeanza kunipa...
Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.