Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada
Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi...
Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto.
Nahisi ujuaji umewaweka...
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
Namzungumzia Rose mwanachuo
Ni HIVI,
Nakumbuka Ilkua mwanzoni mwanzoni mwa mwezi wa 5 kipind ambacho tulkua na ugomvi na mamaJ. Hivo tumenuniana. Basi mihemko na misisimko yote nikaielekeza kwa...
Kwani huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? No hii kitu sijapenda.
Wife kaanza kushika hela hataki niguse hata mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari...
Mbona Dunia inaenda kasi how come ex-wako anakushauri?
Au kumpa sikio ndiyo anajua ana mamlaka na Mimi anyway waga naskiliza na kuyaacha apo apo uliyoniambia.
Ungekuwa unaejitambua usingekuwa...
My Dearest Ephen,
As the sun sets on another day, my heart is filled with anticipation and excitement at the thought of seeing you. With each step I take towards you, my love for you grows...
Za leo wapendwa,
Jamani naombeni kuuliza, hivi ni kwa nini my hubby akienda kwenye vikao na wenzake ni mpaka nipige simu mara ishirini ndo unamuona anarudi home. Nisipofanya hivyo anaweza kuja...
Kila mtu hubeba "mizigo" yake yenye nguvu. Unapoungana na mtu mnene, mwembamba, hasi, au asiye na utulivu wa kihisia, nguvu hiyo inaweza kuingia ndani yako.
Chagua mwenza mwenye kuleta mwanga...
Unataka mwanamke mwenye kipato tafuta mwanamke ambae tayari ana biashara au ajira.
Unataka mwanamke msomi, tafuta ambae tayari kashasomeshwa na wazazi wake mpaka level ambayo yeye anaitaka
Usiwe...
Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa...
Habari za mda huu wakuu
Poleni watanzania kwa msiba wa Dkt. Faustine Ndugulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili
Hii familia sijui wananipendea nini, anyway naamka na simu ya dada...
Habari ndugu zangu,Poleni na mihangaiko ya kuhangaikia mikate yenu ya kila siku kuhakikisha Familia zenu zinapata mikate ya kila siku.
Narudi kwenye Mada Nina evidences zaidi ya 10 naona wake za...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.
Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo...
Unajua kwanini wazee wetu waliishi umri mrefu na wa furaha? Ni kwa sababu mtazamo wao kimaisha ulikua tofauti na sisi. Waliishi maisha simple tu.
Mfano, pale kijana anapofikia umri wa mtu mzima...
Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na...
Habari zenu wana MMU 👋🏽 👋🏽
Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo...
Wakuu habari....
Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa.
Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.