Katika harakati zangu za ubaharia , uvushaji, uchakataji na hata kuwanafikia hawa viumbe na muda mwingine kudate nao nimegundua mambo kadhaa
1: Usidate wala kufungamana na mwanamke anaye amini na...
Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress.
Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na...
𝗠𝗝𝗨𝗞𝗨𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗔𝗞𝗨𝗨𝗦𝗜𝗔
Kama uchumi wako uko vizuri tafuta mwanamke atakayetulia nyumbani akulelee familia yako, ikiwezekana hata sokoni nenda mwenyewe, Hawa wanaotaka haki sawa mtoke wote asubuhi...
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali.
Baada ya hapo, nilijikita kwenye...
Habari wanaJukwaa ..
Nahitaji tupate uzoefu kutoka kwa wale waliotutangulia kwenye hili suala la Engagement.
Wewe na mchumba wako ni mambo gani mlizingatia katika hiyo siku kwa kuanzia na mavazi...
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30.
Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika...
Wakuu salama.
Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea
Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA.
Ilinitokea siku Moja nilikuwa...
Alinifata akiniomba msaada nimpe sehemu ya kujihifadhi, ndani ya siku 5 jasusi nilikuwa nimeishausoma mchezo, Manka anasoma game jinsi atakavyonipiga tukio, ilinibidi nipindue meza haraka sana...
japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi.
Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa...
Binadamu ana hulka ya kutosema ukweli hulka ya kutosema mabaya/madhaifu yake. Wengi wetu huvutiwa na lugha za watu hasa mnapoonana kwa mara ya kwanza.
Mapenzi kabla ya ndoa si kipimo halisi cha...
Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.
Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na...
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.
Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki...
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao...
Mahusiano yana usiri mkubwa sana kiasi cha kujirudiarudia kwa watu wengi. Ufuatao ni ukweli kuhusu mapenzi na mahusiano
• Lazima muwe tofauti, mmoja mtulivu mwingine awe kicheche(ukweli mchungu)...
KIUFUPI KABISAAAA;
Sina mengi
1. Video 400 zimejibu hoja zangu zotee.
2. Video 400 zimewajibu matusi yenu yotee mliyonitukana
3. Video 400 zimefuta dhihaka zenu zotee za kuniita mapenzi ya jinsi...
Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano.
Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima...
Mwanaume kuwa makini zaidi wakati wa kuchagua mwanamke wa kuoa/ kuishi naye.
Tuko katika kizazi ambacho:
1. Wanawake hawakubali makosa yao,mara nying hulaumu juu jinsi wanavyotendewa na wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.