😅😅🙆Ndoa ni uvumilivu🤭🤭mpendane kwa shida na Raha😅😅🤭jib km mwana ndoa🤭🙄🙄🤭mm tutoane nundu👉kikubwa misukumio ya chapati wa mama tunayo ndani😅🙄🙄au wewe unavumilia😅😅😅😅nasoma comment zenu Wana ndoa😅😅😅
Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika...
JE ni SAHIHI
Habari ndugu zangu wanajamvi poleni na shughuli za kutafuta mkate wa kila siku, kuna jambo nimeliona mahali nikaona ni vyema niwashirikishe magreat thinkers of bongo land.
Ilikuwa...
Mwanzo nilidhani wanafumua sementi ili asubuhi waweke tiles au wanavunja ukuta, baadaye hali ikawa mara mbili ya ile ya awali, kama kweli watu wanatumia hayo madawa basi anayejiumiza ni mwanaume...
Nimeenda kumtembelea sista ambaye ni mtoto wa mama mkubwa ameolewa jijini dar, sasa hapa wanaishi watu wa nne, sista, shemeji, mdogo wake shemeji ni wa kike, mtoto wa sista mdogo wamiaka mitatu na...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila...
Habari za asubuhi Wana JF,
Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 43. Ni mfanyabiashara na mkaazi wa jijini Dar Es Salaam. Mwaka 2011 nikiwa na umri wa miaka 36 nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na...
Wadau,
Kuna jamaa yangu anaomba ushaur.
Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana...
Habari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni...
Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta
Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili
Mithali...
Leo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.
Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu...
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.
Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe...
Nilikuwa sijui kuoga wala kuvaa, ila amenipenda hivyo hivyo na sasa najua kuoga na kuvaa.
Nilikuwa na lala njaa, ila akanipenda hivyo hivyo na kunipatia chakula, sasa tunashiba.
Wengine...
Rafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka...
No marriage is perfect, those celebrating 30, 40, 50 years of togetherness, they are celebrating forgiveness, tolerance, ignoring the husband's /wife 00stupidity, overlooking the wife's...
Knakutana na haya mambo yanajirudia kwenye ndoa hasa wakati wa tendo la ndoa
Mwenzio anakujibu
Uinigusee
Nimechoka
Sijisikii
Niamshe baada ya masaa mawili
Nanmengineyo kama una la kuongeza...
Habarini ndugu zangu?
Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu...
Ni sawa kuumia kwasababu mnakumbukumbu pamoja na mwenza wako ambazo huwezi kuzifuta mara moja na kuzisahau ghafla
Ila tambua kwamba mlipitia machungu pamoja wakati wa maisha yenu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.