Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je...
7 Reactions
34 Replies
942 Views
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake? Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata...
3 Reactions
8 Replies
590 Views
Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi. “Mwanawake akipata...
13 Reactions
67 Replies
2K Views
Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua...
12 Reactions
100 Replies
7K Views
Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto...
22 Reactions
53 Replies
2K Views
Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
5 Reactions
144 Replies
23K Views
These type are always wet you'll never drain them they give best missionaries and ** styles 🥰if you don't drive well you might slipper with in a minute. Monday night ! Not always same threads 😎
4 Reactions
4 Replies
220 Views
Salaam wanajamvi!Natumai mu wazima wa Afya! Poleni wote munaopitia changamoto mbalimbali M/Mungu awafanyie wepesi Niende moja kwa moja kwenye mada husika. SIRI NZITO[emoji24]!! Wiki mbili...
16 Reactions
57 Replies
5K Views
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani, Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani. Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Kama wengi mnijuavyo , Basi bwana ngoja leo nitoe madini kwa hawa ndugu zetu madomo zege (loosers).Kama wewe ni domo zege basi huu ni wakati wako wa kuchukua ufundi kutoka kwa wazoefu ili na nyie...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we...
8 Reactions
13 Replies
350 Views
Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara...
8 Reactions
161 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
👋 Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi. Sasa alikuwa...
14 Reactions
167 Replies
7K Views
Habar zenu wakuu,poleen na Mvua na Baridi. Naomben Ushauri hapa ;Kuna Dem Nmemuacha Ila Kakatalia Nguo yangu anadai kuwa Ety Ni Kumbukumbu kwake.
9 Reactions
53 Replies
755 Views
Katika maisha kosea vyote ila usikosee kuoa , ukikosea kidogo mtu sahihi wa kumuoa basi umejiangamiza wewe mwenyewe, uzao wako na mali zako. Katika wanawake wanaopaswa kuepukwa kwa haraka sana...
12 Reactions
38 Replies
1K Views
Kwanza niweke wazi mini ni miongoni mwa wanaume wabahiri kuonga sijui Kwa sababu kipato changu ni kidogo na hata nikiwa na 1m nikaonga hata 10k itaniuma kweli kweli lakini nikimsaidia mtu napata...
1 Reactions
7 Replies
709 Views
Back
Top Bottom