Habari wapendwa.
Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika...
Duni hii siyo fair hata kidogo kwa wanawake. Tamaduni hazimpi mwanamke nguvu ya kuamua aolewe lini na aolewe na nani. Hivyo mwanamke hubakia njiapanda.
Mtanziko huu ndiyo umewaingiza wanawake...
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke...
Habar zenu wadau
Naomba mnisaidie maana nipo njia panda sielewi nifanye nini. Waswahili wanasema mficha maradhi Kifo humuumbua.
Mimi sitaki kusubiri Kifo kinikute. Ileweke nimekuwa humu JF kwa...
Uko na mchumba kwa muda mrefu, baada ya kupata tuhela unasema ngoja sasa nimwambie mwenzangu nataka niende kwao nikajitambulishe na hatimae nioe kabisa..
Lakini mtu anakwambia hayuko tayali na...
Ndugu zangu.
Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila...
Kuna mwana amenogewa na penzi la kipare
Anasema ni tamu kama papai
Mind you, papai halijawahi kuwa refu
Anaomba asiulizwe maswali, utamu huo aje?
Umemwelewa lakini?
Nimeolewa lakini sifurahii ndoa yangu kabisa, nilichokitegemea kwenye ndoa si ninachokipata. Mimi ni binti wa miaka 24, nimeolewa na mume wangu ni askari, yeye ni polisi wa kata hivyo tuko huku...
Naombeni misaada yenu hapa kuna kesi ya kusolviwa haraka haraka, watu wapo juu ya mawe wanaliaaa
NAZI MTARONI:
Yani Money Penny hapa ninashida ya milele
Kuna kibopa nilikutanaga nacho TRA hapo...
Salaam wakuu:
Kuna hili jambo lakushangaza na linalovuma sana linalodaiwa kufanywa na vijana wanaosaidia watu wanaokwenda kucheza baharini (beach boys)
Kwenye mazingira hatarishi ya baharini tena...
Hii Gen Z ina mambo mengi sana, ni kawaida kukuta mtoto wa kiume ameoa na bado anaishi kwa wazazi, yani alipo olewa mama yake na yeye analeta demu wake, huku ni kuvunjia heshima wazazi, kama...
Ndugu salam
Sishauri kijana ambaye hajaoa kuingia kwenye ndoa, wanawake wa sasa wamekua ni chanzo kikuu cha wanaume kufa mapema kwa magonjwa hatari yatokanayo na msongo wa mawazo
Nayasema haya...
Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua...
Nipo apa kuwatoa ujinga nyinyi wanaume mnaojifanya mna pesa yaan unakuta dume zima linajua na mwanamje first day denu anaanza njaa mara nina birthday.kuna mchango wa harusi .nimekopa nadaiwa nina...
Wanabodi natumaini nyote hamjambo!
Kwa muda mrefu stori nyingi zinazohusu mapenzi zimegubikwa na migogoro mingi inayotokana na wapenzi husika kuhisiana kukosa uaminifu baina yao. Kwa kuhisi kuwa...
Maandiko yaliwaonya ishini na wanawake kwa akili. Wanaume jueni haya juu ya wanawake ambayo hamyajui au mnayajua Ila hamtaki kukubali huu ndio ukweli.
1)wanawake baadhi sio wote wakipenda...
Hello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi...
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa😔
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.