MABINTI WA SIKU HIZI
Katika enzi za sasa, mwenendo wa mabinti wa siku hizi unaibua maswali mengi, hasa kuhusu matarajio yao katika mahusiano na maisha kwa ujumla. Imeonekana wazi kuwa baadhi yao...
Mungu ameumba jinsia mbili tofauti, ya kike na ya kiume. Hizi jinsia mbili hazifanani maumbile yake ya siri yaani vile via vya uzazi. Katika hilo kuna mtoaji na kuna mpokeaji. Huwezi kubadili huo...
Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote...
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata...
UKIWA NA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA BILA HEKIMA UTAPOTEZWA UELEKEO
UKIPATA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA HII NDIO SABABU YA KESI NYINGI ZA KUSEMA KABADILIKA BAADA YA KUPATA PESA.
Wengi wanashauri...
Asalaam wana JF!
Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura...
Wakuu,
Ukienda Zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndio wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama...
Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati...
Wanandoa na mliowahi kuishi na wanawake naombeni ushauri kidogo, huwa napenda sana kujifunza mawili matatu kabla, ili niweze kufahamu walau kwa uchache jambo ambalo nakwenda kulifanya, wenda isiwe...
Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa.
Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya...
Ni kijana aliejaaliwa kuwa na familia yake mke mzuri na watoto wawili, miaka kadhaa imepita alikua kwenye mahusiano na binti mmoja walipendana ila bahati mbaya uhusiano uliisha hawakuweza kuoana...
Amani iwe kwenu,
Napenda kushare hili, tabia ya sisi kina dada kushindwa kutambua na kuthamini nafasi za mawifi zetu kwa makusudi, kwa kujitoa ufahamu au kutokujua kwa bahati mbaya, hadi...
Iko hivi mimi nilikuwa na msichana na tulipanga malengo tuoane kabisa huku Kenya sasa tatizo huyuu demu tarehe 05 mwezi wa 12 alipata kazi huko nchi za kiarabu yaan alienda Madina sasa huko...
Huyu jamaa ana ndoa, ila pia ana mtoto mmoja aliyempata kabla hajaoa sijui nini kilitokea hadi hakumuoa huyo mama mtoto ila kwa umbea naweza kufatilia teh, mama mtoto alishaendelea na maisha yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.