Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao;
1...
Nimekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nimepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia...
Bila shaka mko powa wananzengo wenzangu!! Nawapa visa vya kweli vya mke wangu ambavyo siwezi kumpa mtu yeyote isipokua nyie coz hatujuani✍️✍️
Huu ni mwaka wa nane tangu tuanzishe uhusiano na ni...
Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila...
Wakuu naomba mnishauri kwa hili tafadhalini sana, nipo chini ya miguu yenu.
Ni hivi kuna binti nimetoka kufanya nae mapenzi asubuhi hii nikajikuta natoa boko bila kujua na binti yupo kwenye siku...
Nilienda kwa mke wangu baada ya kupta wiki kazaa, cha kushangaza ni kwamba mtoto wangu wakwanza mwenye miaka minne aliniuliza hivi baba jana usiku ulikuja? Nikamjibu hamna. Akanambia jana usiku...
Rejea kichwa cha habari na karibu katika utoaji wa mchango wako ambao Kwangu Mimi una thamani kubwa sana.
Binadamu wengi sana tuna kinyaa katika kufanya mambo fulani au kuna vitu tukiviona huwa...
Wana MMU poleni sana kwa majukumu ya juma zima, weekend bado changa ndio kwanza inaanza.
Leo nina confession moja ambayo sio nzuri.
First lemme declare hiki nilichokiandika sio sifa, bali ni...
Habari wana JF,
Kwa mwanamke au mwanaume yeyote kuna nyakati tunakaa na kuanza kuhesabu wapenzi ambao tekuwa na mahusiano nao. Na kuna nyakati tunawaza kuwa ni wangapi wameshaoa au kuolewa mpaka...
Wasalaam wakuu,
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
Ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya...
Kwanini katika jamii huonekana jambo baya mke akiuza nyumba ya familia baada ya mume wake kufariki dunia? Nyumba kuuzwa huwa inaleta utata sana kuliko mali nyingine.
Kama mwanaume amefariki...
Mwanamke Usiruhusu Mwanaume Kuhamia Nyumbani Kwako...
Ukiamua kuolewa usimruhusu ahamie kwako, hata kama unamiliki jumba la kifahari katika soko la juu halafu huyo jamaa anaishi katika nyumba...
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe...
Najua most of wanaume wanahusisha uanaume katika mahusiano na kuprovide a.k.a kuhudumia. Hii ni idea pandikizi ambayo ina elements mchanganyiko za kike na za kiume.
Za kike kwasababu ni logical...
Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote!
Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama...
Mimi sielewi, ni kwamba
1) Mnatukomoa
2)Mnatuuzia papuchi,
Kama ni shida ya hela, kila MTU ana shida ya hela, mbona sisi tukiwatongoza hatuwaombi hela?
Halafu utakuta mdada baada ya kumtongoza...
Wadau haya mambo ya kuambukizwa ngoma nayo si ya kuumiza sana kichwa.kufa kupo tu.unaweza ukafa hata kwa malaria ukaambukizwa na mbu. Au unapita barabarani unapata kabang "unarara mbere"
Sema...
Watu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.