Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Shikamoo wakuu, Basi jana nikiwa nmejilaza kitandani kwangu naperuzi jukwaa la siasa humu si ghafla ikaingia text whatsup kuchek namba geni(imeandikwa nakusalimia tu,nikajibu asante nani lakini"...
1 Reactions
166 Replies
14K Views
Habarini za jioni wadau Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. Kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu, na...
5 Reactions
142 Replies
15K Views
Haya majanga sasa. Ni yuleyule binti tuliyekua tukiishi nae mtaani hapa na baadae akapata bahati ya kwenda nje ya nchi. Msichana mstaarabu kwa muonekano, mpole, mwenye haiba na aibu tele...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
WaJF naomba ushauri wenu nifanye je ? Mchumba nampenda sana na nataka kuoa ila hiyo mahari niliyotajiwa imeniumiza kichwa kabisa. Wazazi wake wanataka mahari 5mil.mi ntatoa wapi ? Hii ni...
2 Reactions
81 Replies
11K Views
WanaJF ndugu yenu nilikuwa na tabia ya kuchepuka na nikawa na wapenzi wa 4 wote marafiki pasipo wao kujijua kwa muda mmoja, Bahati mbaya tangu mwezi jana walianza kushtukia na hatimaye leo...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
NI siku nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Mimi nitakuwa mchoyo wa shukurani kama...
8 Reactions
152 Replies
17K Views
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na...
3 Reactions
129 Replies
13K Views
Habari wana MMU,. Ninafahamiana na madaktari wengi ambao nimepata kufanya kazi nao nyakati tofauti tofauti katika maisha yangu. Wengi wao nilipotaka kupata historia zao katika mahusiano na...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Mweneznu hapa nipo hoi kwa chekooo! Mbavu zaniumaje sasa! Nimepewa yanayojiri bongo sinammbavu mie! Kuna ndugu yangu mmoja, ana on and off bf ambae...
17 Reactions
201 Replies
20K Views
Wasalaam wanafamilia wa MMU... The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back.... Siku za nyuma...
2 Reactions
158 Replies
12K Views
Unashindwa kusema HAPANA kwa watu wengine kwasababu unawajali sana Unaweza kulia ukiwa mwenyewe na hauwashiriki wengine mambo yako, kwasababu unahofu watakuonaje Huwa unafikiri kila mtu...
7 Reactions
31 Replies
757 Views
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi, hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true? Kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana...
6 Reactions
286 Replies
17K Views
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi. hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true? kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua...
12 Reactions
182 Replies
18K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Wazazi wamekua wakijitahidi kulea mabinti zao vyema japo Lipo wimbi kubwa sana la wanawake kubweteka na kua malimbukeni kupita kiasi, hali hii imesababisha...
5 Reactions
163 Replies
6K Views
Ifikie mahali sasa watu waende na wakati,mwanaume akitongozwa na mwanamke anaona kama vile mkosi,wakati mwingine anahisi au huyu mwanamke jini,au katumwa,au ana ngoma anataka kuniambukiza,au...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake...
5 Reactions
122 Replies
25K Views
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke...
7 Reactions
413 Replies
33K Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi humu ni msomaji tu kwa muda sasa[emoji1787][emoji1787]Sijui na utu uzima au ni vipi Katika pita pita zangu nimegundua wanawake warembo/wasomi/wenye pesa wanateswa sana...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane Unaweza kuongea pekee yako na...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
Back
Top Bottom