Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda… Mkaka...
13 Reactions
140 Replies
3K Views
Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma Tunalazimika kuzinyanyua nafsi na mioyo yao iliyojiinamia ndipo tuwapandikize upendo wetu Huwezi kuupata upendo...
2 Reactions
7 Replies
364 Views
https://www.facebook.com/reel/901390448542878
5 Reactions
13 Replies
590 Views
Sasa nimeelewa huu msemo unamaanisha nini. Hitaji namba moja la mwanaume ni heshima na hitaji namba moja la mwanamke ni upendo. Kumbe upendo na heshima ni vitu vinavotegemeana🤔
6 Reactions
8 Replies
343 Views
Ukweli ndio huo. wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote. Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu...
44 Reactions
163 Replies
11K Views
Habar za humu .. Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni.. Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka...
50 Reactions
109 Replies
8K Views
Leo asubuhi nimefika ofisini nakuta my co worker analalamika, jana kapanda daladala ilikua imejaa kiasi, watu walikua wamesimama na nyuma yake alikuepo mwanaume,huyu kidume kila mara alikua...
1 Reactions
44 Replies
13K Views
Ujana una mambo mengi Nina story nyingi hasa ujana ukiwa unachemka Ujana huu umenipa story za kusimuulia maishani, Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010, nilikuwa nakaa kigamboni Dar as salaam sehem moja...
33 Reactions
245 Replies
87K Views
Holla people.... This is for Kash Kabush Dadiiiiii. .... Am ready, you know am ready to love you... to love you, forever.... hey my lover man..... come and love me forever more..... This...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Ooh Casanoovaaaa..... Me and Romeo and Sarah and James...... Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!! Ningekuwa nimeipuliza ningesema inanipelekesha kichwani Ila waaalaaahh... Ni vile...
6 Reactions
78 Replies
3K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana wa JF, Leo nilikuwa kwenye mishe mishe zangu binafsi sikwenda kazini basi baada ya kumaliza shughuli zangu nikaingia Mandela Square Mall. Nikapata nilivyokuwa...
7 Reactions
172 Replies
8K Views
Kwako Mahabat wa Kasie.... Usipate taabu u Mahabt, uliyoyafanya sio mageni hapa Duani ehee! Mahalat! Ikiwa kupendana babaa ,Wapo waliopendana kama watoto mapacha! Sweetie, Ikiwa ni mapenzi ii...
7 Reactions
137 Replies
11K Views
ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye...
1 Reactions
2 Replies
279 Views
Ilikuwa ni kama bahati. Kwanza haisi lilikuwa limejaa, hakukuwa na hata kipande kidogo cha siti. Pili, waliokuwa wamekosa nafasi wengi wao walikuwa ni mabinti na wakina mama wenye mbete ndembe...
4 Reactions
112 Replies
6K Views
Pole Baba angu mzuri na kazi, asante Mungu Baba kunirejeshea salama furaha hii ya moyo wangu akiwa salama. Nakupenda sana baba angu mzuri, nimefurahi sana kukuona ukiwa mwenye tabasamu 💕...
1 Reactions
4 Replies
185 Views
Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana. Yawezekana hao uwaonao leo wanapendana sana kuna mahala upendo wao ulipuuzwa mahala na waliumizwa Kwasababu mapito yenye...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime...
2 Reactions
2 Replies
144 Views
Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari, kujifunza kumpenda mtu ukiwa naye ni changamoto sana kwasababu matarajio yako yasipokuwa vile utamanivyo huku ukiendelea kuzaa naye, kupoteza...
2 Reactions
8 Replies
210 Views
Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞 Hakikisha...
2 Reactions
0 Replies
285 Views
Back
Top Bottom